Search results

  1. Madege

    Electronicsdarasa:Ubunifu wa Inveter kwa kutumia IC ya SG3524 (Advanced learner's)

    Asante nimefuatilia vizuri Sana maelezo yako. Shida inakuja hapa kwenye power factor V = ni voltage itakayozalishwa na inverter halfu kwenye kupiga zhesabu Sasa umepigia volt 12. Swali voltage inayozalishwa na inverter ni 12? Naamini ni 220vnakama ni 220 Basi hesabu itavurugika hapo. Weka bayana
  2. Madege

    Kwa waliobobea mambo ya solar

    Hii ni system ya cucalculate?
  3. Madege

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Jamaaa kasoma output watt! Napenda huyo anayemiliki hivyo vitu aje asome huu Uzi aone jinsi alivyodanganywa
  4. Madege

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Uyu jamaaa kiboko
  5. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Safi sanaaa asante pia yaan sekunde tu hela yangu nimeiona big up
  6. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Elekeza hapa basi ili nami ninufaike
  7. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wamenigomea wnanambia mambo ya bonus sijakamilisha wapuuz kweli hawa
  8. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela unayodeposit wanataka ubetie mara ngapi ndo utoe maana maelezo yao siwaelewi kabisa
  9. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uliwithdraw au umedeposit
  10. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau wa 1x bet kuna ambaye ameshafanikiwa kuwithdraw?
  11. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio maana uliamrisha watu waende kule telegram lengo lako lilikuwa ni kumute mazungumzo na charting za watu, hukutaka watu wawe huru kama walivyo huru kwenye WhatsApp group. Ilifika kipindi unawaambia what stop charting ili iwe nini? (Upomole huo). Sasa najiuliza kilichokufanya uremove watu...
  12. Madege

    Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

    Malipo VIP yapoje kwa kila mhamala
  13. Madege

    Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa!

    Anjoa on tumieni mchanganuo was gharama ya kufanya hiyo kazi had I nakabidhiwa certificate mkonono mwangu nipo mkoani.Tuma hapa madegedenis@gmail.com
  14. Madege

    Nikasomee masters ipi?

    sasa ya kwanza na ya pili nini tofauti yake.?
  15. Madege

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    huyu mtu ye yupo wilaya ya biharamulo na anataka kwenda njombe
  16. Madege

    Walimu waitwa Wilayani kutoa copy barua zao za ajira

    kutoka kikeo wilaya ya mvomero hadi ufike mvomero wilayani lazima upite moro mjini ndo ushike dodoma road hadi wilayani ni kilometa 80+
  17. Madege

    WARNING: Mnaoenda Uganda msipande Spider wala Tawfiq

    thibitisha kwanini mwongo? tupo hoja zako kama yeye alivyotuelezea
Back
Top Bottom