Search results

  1. MKANKULE

    Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda!

    Ujumbe wako umenisaidia.achana na huyo aliyekomaa na mambo ya ujasusi na mafia kwasababu wavamizi sio wote ni mafia/ majasusi
  2. MKANKULE

    Tizama mazoezi ya wanajeshi wa North korea

    Kila mwanadamu ataonja mauti
  3. MKANKULE

    Nini kinachoendelea Singida?

    Unaweza kumuheshimu lakini sio kukiabudu Kama wanavyofanya wakatoliki.
  4. MKANKULE

    Hebu chunguza hii picha kwa makini

    Lakin hata hivo najaribu kutizama sura za hii couple 2 naona kama sura ni zilezile kasoro rangi tu
  5. MKANKULE

    Selasini ahoji kujichanganya kwa Nape na Kassim Majaliwa matangazo ya bunge

    " Nasikia uchungu sana bunge liiirushwa live natamani hata kulia" by Mary marwa
  6. MKANKULE

    DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

    kwahiyo ziara ya kustukiza imeleta tija gani maana ameomba risiti akapewa kwasababu yeye n mkuu unadhani kesho mwananchi wa kawaida atapewa.
  7. MKANKULE

    TPDC yakanusha kufungua Akaunti za ESCROW katika Benki ya Stanbic

    Amekanusha au amekubali ? Halafu kwa nini stanbic tu hii benki ina nn jamani
  8. MKANKULE

    Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

    Unawezaje kuthibisha pasi na shaka kwamba hiyo picha ni ya rais .
  9. MKANKULE

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Napenda majipu yatumbuliwe lakini Mimi naona huyu mama kaonewa.najaribu kufikiria ndio mimi umenikuta Nina ajira yangu inanilipa mil 35 halafu ukaniahidi utanilipa mil 18. Kukubali tu kushuka ni uzalendo wa hali ya juu na unyenyekevu. Lakini nilipotaka kuanza kazi ukasema unanilipa mil 5 ...
  10. MKANKULE

    Kila mwana CCM ni msemaji wa serikali?

    Ungejua ni lini upinzani umeanza na harakati za kupambana na mafidadi na wizi wa nchi hii usingesema hivo. Hivi jiulize tu hii nchi bila mltipartism tungewezaje kujua wezi wa nchi hii . uliwahi kuona wapi nyani anampelekea ngedere kesi
  11. MKANKULE

    Kila mwana CCM ni msemaji wa serikali?

    Na serikali inayokubali kukosolewa ina sifa ya kufanya vizuri katika kuwatumikia wananchi. MTU asiyekubali kukosolewa hawezi kujifunza kipya anadumaa hatimae anachokwa. N miaka mingi mno wapinzani wamekuwa wakiikosoa serikali lakini waliwabeza na kuwatusi .lakini sahv jpm anajitahidi kufanyia...
  12. MKANKULE

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Huwa sipendi sana tabia ya mtu kutafuta sababu ya kuhalalisha jambo kwasababu eti na mtu mwingine anafanya hivo .Nape akisema eti nchi nyingi za jumuia ya madola zina bunge studio , kwahiyo kama zina huo utaratibu kwanini haukuwepo zamani .na je hizo nchi zikianza kurusha live mtaanza na nyie...
  13. MKANKULE

    Utajiri wa Dr. Dau unashtua

    Kumiliki kampuni haiitaji uwe na mapesa mengi unaweza kununua hisa tu na,tayari unakuwa mmiliki wa hiyo kampun au hiyo biashara.
  14. MKANKULE

    Anne Kilango kupangiwa kazi nzuri zaidi ya ukuu wa mkoa

    Kwa kifupi huyu mama katupwa kikubwa .hakuna kazi ingine atakayopangiwa kwasababu ameondolewa ktk nafasi kutokana na KOSA . na ingekuwa n kupangiwa kazi ingine mpaka sasa sefue angeshapata hiyo nafasi . Kwahiyo acha tu wasome number tusaidiane kusota nao kwenye kutafuta ajira .
  15. MKANKULE

    Maamuzi ya Mbowe yanaididimiza CHADEMA

    Mleta mada yawezekana haumfahamu vzr Katibu mkuu mpya.
  16. MKANKULE

    Hawa ndio watakaomwangusha Rais Magufuli

    Kwahiyo wewe unataka kuniambia ni heri mikataba isivunjwe na unaamini gharama za kuvunja ni kubwa kuliko gharama tunazoingia sahv . Hiyo 6000 unayoilipa kila mwezi kwaajili ya IPTL n ndogo kwako ???
  17. MKANKULE

    Chapati maker in town

    This is new to me .I like it . expect me to be your prospective customer
Back
Top Bottom