Search results

  1. don-oba

    Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

    Wasalaam Mkuu, Binafsi naona post yako imejaa majungu. Mimi kama mkazi wa Kinondoni nampongeza sana Mkuu wa Wilaya Mh. Saad kwa namna anavyoongoza. Tangu amehamia hapa ame-perfom vizuri sana tena bila mbwembwe tofauti na watangulizi wake. Mh. Saad amejitengea siku ya Alhamisi kusikiliza kero...
  2. don-oba

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Sisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
  3. don-oba

    NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    Nimefuatilia fao la uzazi la mke wangu hadi nimekata tamaa. NSSF wanakera sana.
  4. don-oba

    Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

    Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
  5. don-oba

    Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

    Habari zenu wakuu, Napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba mnamo majira ya jioni jana tarehe 25/12/2019, tweets za ZZK zilisambaa zikisema CAG Assad ametekwa. Tweet nyingine ikishukuru wananchi kupaza sauti zao hatimaye wamemuachia Assad. Hii si mara ya kwanza ZZK kupotosha umma lakini vyombo vya...
  6. don-oba

    Tume ya Uchaguzi( NEC) imetangaza uchaguzi jimbo la Buyungu Kigoma na kata 79

    Kuna Halmashauri humu mbona zimesahaulika.
  7. don-oba

    Ushauri: Mjue kwa undani Agness Masogange

    warumi ana maono, ona sasa nyumbani kwao wanapomzikia ni tofauti kabisa na maisha ya kifahari alokuwa anaishi.
  8. don-oba

    Rombo tumepeta DC na DAS Hodari sana

    Kweli kabisa, Mh Mkuu wa Wilaya Agness Hokororo pamoja na DAS in mfano wa kuigwa hasa kwasisi wakazi wa Rombo.
  9. don-oba

    Mkurugenzi Rombo kukatwa 10% ya mshahara wake kwa kushindwa kujibu hoja mbalimbali za LAAC

    Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali ya Mitaa imeagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kukatwa asilimia kumi ya mshahara wake kwa kushindwa kujibu hoja mbalimbali za LAAC. Itakumbukwa kwamba mwaka jana kamati hii ilimfukuza kutokana na kitabu cha LAAC alichokiwasilisha kuwa na...
  10. don-oba

    Napendekeza Kippi Warioba ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Sio kweli, Mh raisi anasikiliza maoni ya watu wote japo si lazima ayafanyie kazi.
  11. don-oba

    Napendekeza Kippi Warioba ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Asante mkuu kwa hekima zako
  12. don-oba

    Napendekeza Kippi Warioba ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Subiri wakupendekeze nawewe mkuu
  13. don-oba

    Napendekeza Kippi Warioba ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Sio nia yangu kumpangia majukumu mtukufu raisi, lakini nimeona ni vyema kumshauri jambo hili. Mheshimiwa Kippi Warioba ambaye ni mkuu wa wilaya ya Moshi ni miongoni mwa vijana wachache waliojaliwa hekima. Kippi Warioba ni kijana mtulivu na asiyekuwa na majivuno. Nafahamu Kippi hanijui, lakini...
  14. don-oba

    Madiwani Rombo walilia posho

    Katika hali ya kustaajabisha, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo wamesusia vikao mbalimbali wakilalamika kwamba posho ya mahudhurio ya vikao (Sitting allowance) imepunguzwa. Madiwani hao wasema hawatahudhuria vikao mpaka hapo posho itakapopandishwa. Ikumbukwe kwamba stahili hizo za...
  15. don-oba

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Propaganda za Malisa na Saanane, ha ha ha...!
  16. don-oba

    Mkuu wa wilaya Rombo Bi Agness Hokororo ni mfano wa kuigwa

    Katika teuzi ambayo Mh JPM hakukosea ni kumteua Bi Agness Elias Hokororo kuwa mkuu wa wilaya ya Rombo. Mh Agness anaendesha wilaya kisomi na amekuwa mfuatiliaji na mfumbuzi wa kero mbalimbali za wananchi. Mfano amevalia njuga suala la mimba za utoto na unywaji wa pombe haramu. Vilevile...
  17. don-oba

    CAG: Huu ndio ufisadi Halmashauri ya Serengeti

    Kutokana na ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, madudu na ufisadi mkubwa umegundulika katika Halmashauri yetu ya Serengeti. Hamashauri yetu imewekwa katika orodha ya Halmashauri zenye makosa katika uandaaji wa taarifa za hesabu. Halmashauri imetoa malipo yasiyothibitishwa...
  18. don-oba

    CHADEMA jimbo serengeti, wanaanchi waanza kurudisha kadi zao ccm.

    CHADEMA jimbo la Serengeti yaanza kupasuka, hii ni baada ya uteuzi wa wagombea wa udiwani viti maalumu kutawaliwa na rushwa, ukabila na hujuma nyinginezo. Kumetokea hali tete baada ya uteuzi wa madiwani viti maalumu. Ikumbukwe kwamba kulikuwa na uchaguzi wa madiwani viti maalumu hapo...
Back
Top Bottom