Search results

  1. M

    Mkurugenzi mkuu gaming board atumbuliwa kimya kimya

    Taarifa za uhakika kuwa Mkurugenzi mkuu wa bodi ya bahati nasibu ya taifa bwana Abas tarimba amepigwa chini tangu wiki iliyopita na nafasi yake anakaimu mtu mwingine
  2. M

    Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

    Tuwe nazo kwaajili ya kubebea nini sasa?
  3. M

    Ulishawahi kujutia mchepuko?

    Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
  4. M

    200 Mil biashara gani ya kunilipa fasta

    Mbona mgumu kuelewa? Nimesema dhamana ninayo bank wamekagua na wamesema wanaweza nipa hadi mil 200 sasa ninachofanya sasahivi ni kufanya upembuzi yakinifu ni biashara ipi naweza kufanya ili niweze rudisha mkopo ambayo nikiandika proposal itawleweka
  5. M

    200 Mil biashara gani ya kunilipa fasta

    Bado cjachukua ndo maana nafanya utafiti kwanza kwasababu kuna marejesho ya kila mwezi
  6. M

    200 Mil biashara gani ya kunilipa fasta

    Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
  7. M

    Harrier new model vs Kluger

    Harrier new model unaijua ?
  8. M

    Sanitas Hospital vs AAR, nini hatma ya wagonjwa?

    Tatizo sio sanitas tatizo in Aar
  9. M

    Uozo chuo kikuu St. John Dodoma

    Uingizwaji wa wanafunzi wasio na sifa kusoma, katika hili chuo hiki kimekuwa kikichukua wanafunzi wasio na sifa za kujiunga kimasomo totauti na taratibu za wizara, kwa mfano wanafunzi wanaoingia kusoma certificate wengine hata elimu ya secondary hawajasoma Diploma ndio balaa kuna ambao...
  10. M

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Upumbavu mtupu yaani vijana wenye akili na nguvu mnaendeshwa na matukio ya kitoto kama haya kweli nchi haitoendelea
  11. M

    Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    Tunaomfhmu jonasi nkya tunawashangaa, jonas ni lecture mzumbe university pia ni mwanasheria wa kujitegemea kisiasa ni mjumbe wa nec na kibiashara ni mfanyabiashara mkubwa wa magari wa muda mrefu hapa morogoro, hayo masuala ya utapeli ni upinzani wa kumchafulia jina kibiashara kwakuwa hapa...
  12. M

    Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    Tunaomfhmu jonasi nkya tunawashangaa, jonas ni lecture mzumbe university pia ni mwanasheria wa kujitegemea kisiasa ni mjumbe wa nec na kibiashara ni mfanyabiashara mkubwa wa magari wa muda mrefu hapa morogoro, hayo masuala ya utapeli ni upinzani wa kumchafulia jina kibiashara kwakuwa hapa...
  13. M

    Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    Sio kweli tunaomfahamu jonas nkya sio dalali na wala sio tapeli ni mwalimu ktk chuo kikuu mzumbe na ni wakili waekujitegemea pia ni mfanyabiashara wa magari muda mjini morogoro
  14. M

    UKAWA watagawana Majimbo na madaraka kama ifuatavyo

    Wenzenu walishamaliza kupanga sasahvi wanatekeleza subirini muda utawaonyesha
  15. M

    CUF, CHADEMA, NCCR mko tayari kupoteza ruzuku kwa sababu ya UKAWA?

    Ni UTOTO HUU CHADEMA watasema wanakubalika kote
  16. M

    Trafic round about ya hospital ya kansa ya Ocean Road wanachukua rushwa nje nje

    Kumekuwa na tabia ya Askari wa trafic kutumia kutokufahamu sheria mpya za baadhi ya barabara maeneo ya Posta kama mtaji wao wa kujipatia fedha, sasahivi lipo kundi la maaskari wa kawaida 3 na trafic 1 pale Ocean road hospital wanakusanya fedha kama nchi imeuzwa. Ninazo video za matukio hayo.
  17. M

    Hizo kazi maalum za Prof. Mark Mwandosya ni zipi?

    Jamani haya maneno tunayoyatoa humu hayawezi kuwa ya great thinkers hata kidogo tunaudharilisha huu mtandao hatuna tofauti na walevi wa gongo. Ni ushauri tu.
  18. M

    Siasa Zilivyopenyezwa Sekretariati ya Ajira

    Mtoa mada wewe kwa upembuzi tu huna hata hiyo certificate umeyajuaje haya kama si unafiki? Eti tangu lini ikahitajika transcript ya form 4 ikoje hiyo na kwa ajili ya nini labda ukitaka kujiunga na sungusungu
Back
Top Bottom