Search results

  1. S

    Vibali vya pikipiki vimekuwaje?

    Tusaidiane kupeana taarifa za vibali vya pikipiki. Mtu yoyote anayo au kasikia au anajua kuhusu vibali vya pikipiki .. zitatoka lini au pikipiki zetu tusitumie zikae nyumbani ziendelee kuoza.
  2. S

    Kiwanja kiwanja kiwanja.

    huu ni ujinga mtupu. kama unafanya biashara si uandike bei ya kitu na namba za simu ile watu waweze kuwasiliana moja kwa moja .. PM ndio nini. Ndio waleeeeeeeeeeeee, ... "Simu Unayopiga Haipatikani"
  3. S

    Naombeni mnipe ushauri kuhusu Viwanja nya Kigamboni

    Habari zenu, nilikuwa nawaombeni mnisaidie kunipa ushauri kuhusu viwanja vya kigamboni (Mjimwema) nataka kununua kiwanja huko. Lakini nafikiria hiyo kigamboni new city project ipo kwenye mjimwema. sio ninunue halafu nije kuambiwa hapo wanavunja vunja sasa hameni nendeni sehemu nyingine. Je...
  4. S

    need help opening a website

    hi, i need help as i want to open a website, my problem is that i don't know if there is a TAX to pay when u open a website, if there is under what category is websites fall into. also i will be taking adverts so will there will TAX on adverts. please anyone with a knowledge please share with...
  5. S

    naombeni mnisaidie (nataka kufungua website)

    nadhani wote hamjambo. nduguni zangu na madada zangu, nawaombeni mnisaidie. siku nyingi sana nimewaza nifungue website inayohusu kutafuta kazi hapa tanzania n.k tatizo langu sijui kisheria inasemaje ukifanya hivyo, na je kuna TAX za kulipia na endapo nikipata matangazo za kuweza kwenye site, je...
  6. S

    Looking for a relationship ..

    Eh!!! ..
  7. S

    Looking for a relationship ..

    Asante sana MKUU .. nimemwona huyo Daughter anaonekana dada anaroho nzuri huyo ila yuko short temper na straight forward .. :)
  8. S

    Looking for a relationship ..

    Mine too!! :)
  9. S

    Looking for a relationship ..

    Yes, ni true, hawapatani kabisa hao .. hehe
  10. S

    Looking for a relationship ..

    Itatengenezwa je, kama hujatafuta ..
  11. S

    Looking for a relationship ..

    Looking for a relationship .. Only girls aged between 18 - 30. Your race is not important. PS: Please only PMs .. ___________________________ Get Rich or Die Tryin'
Back
Top Bottom