Search results

  1. E

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mie nipo marangu Mtoni jirsni na marangu lutherani hospital. yaami internet ipo slow ile mbaya Fanyemi utaratibu wa 3G
  2. E

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    Nipo MOSHI HIMO hebu niambie ni nahitaji nini ili nipate unganiswa na hiyo internet.
  3. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    anayetaka toka idara ya msingi MOSHI (V) kwenda MWANGA tuwasiliane emmagmayemba@gmail.com
  4. E

    Ni kwa nini watanzania wengi wakinywa pombe uongea kiingereza

    Ukweli ni kwamba. waingereza wali2aminisha kwamba wao ni bora na lugha yao ni bora. hivyo jamii mpaka leo inaamini anayezungumza kiingereza ni wamaana na ni msomi. tulinywa tunataka watu wajue sie sio wa mchezo.
  5. E

    Tunauza laptop na Pc

    Heb sema spec za perso comp
  6. E

    Msaada wa POS software nzuri.

    Makoyez nashujuru nitadownload trial vesion nikifikia mahali pakusema ndio nitawasiliana nawe kwa ajil ya key(pass code)
  7. E

    Msaada wa POS software nzuri.

    Kalila ndugu yangu nashukuru kwa msaada wako na mungu akubariki sana nitajitahidi niwatafute hao jamaa.
  8. E

    Ubuntu phone, Android phone or Google ideos

    Mkuu ina maana hiyo tecno n7 hapa tz haipatikani kama ipo na bei unaifaham please inform me
  9. E

    Msaada wa POS software nzuri.

    Ndugu zangu wana JF ninamiliki duka la rejareja na natamani kuliendesha kitaalamu kwa kutumia POS SYSTEM naombeni munipe msaada niipi POS software nzuri na hadware wapi nitapata? ASANTE
  10. E

    Aina tatu za ajira. Chagua ajira unayo itaka.

    nimekubali mawazo yamesimama
  11. E

    serious man to build a family!

    Utamjuaje aliye serious.
  12. E

    Majina

    Nimeipenda kwakweli
Back
Top Bottom