Search results

  1. watambi

    Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    ndugu yangu unatesekea ukiwa wapi
  2. watambi

    Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

    tulia kwanza tufurahi
  3. watambi

    Ukiniwekea Simba na Ngogwe nitachagua Ngogwe (Nyanya chungu)

    we utakua ndugu yangu hata kwetu gongwe ni Bora kuliko Simba. we utakua wa morogoro
  4. watambi

    DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    mamake walai heri Mimi sijasema
  5. watambi

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    iliwai kunitokea nikawa natembea na maziwa kwenye gari mpaka nilipofanikiwa kumpigia chini sasa naishi maisha ya raha na amani
  6. watambi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kimbia kimbia kimbia faster
  7. watambi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio bure Kuna nguvu ya ziada kanji anaitumia tukifanikiwa kuivunja hiyo kanji siku moja tu anafirisika
  8. watambi

    Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Hamza na sasa Dereva. Mjichunguze huyu nae mtamuita Gaidi????
  9. watambi

    Taarifa Muhimu kutoka TARURA, Ulipaji wa ada za maegesho kidigitali

    Nyambafu niliwekewa risiti maeneo ya kariakoo maandishi yamepauka balaa namba hazisomeki.mpaka mwanangu wa darasa la tano alipofanikiwa kunisomea na kufanikiwa kulipa.hakikisheni mashine zenu zinaprit vizuri ndo mtoe risiti Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  10. watambi

    Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Vp waliofanikiwa tumaomba mrejesho Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  11. watambi

    Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Kiongozi utakufa bule Kwa kukiuka masharti ushaambiwa alhamis acha mihemko Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  12. watambi

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Huyu maki muga anazinga sasa Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  13. watambi

    Mke wangu usiku wa jana nusura aniue, angenipa kilema

    Pole huyo ndo mkeo kama unampenda endelea kuishi nae ila andika kabisa urithi kuwa ukifa asipate Mali yako yoyote hata boxer yako. wakili apige mihuri kopi mpe yeye na wazazi wake naamini hiyo hasira aitajirudia
  14. watambi

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Najua najua hayo mwenzenu huyo
  15. watambi

    Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

    Kabla sijachangia naomba kujua una Tanzania au nje ya Tanzania Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  16. watambi

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    First born Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  17. watambi

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    [8/25, 7:31 PM] First Born: Alikua anaenda kumuhuzia mtu dhahabu maeneo ya masaki police wakamkamata so wakat wanaenda kituo salander [8/25, 7:31 PM] First Born: Polisi ndio chanzo aise walitaka kumzulumu [8/25, 7:31 PM] First Born: Wakaingia chobingo hili wamalizane police wakaleta tamaa yenye...
  18. watambi

    Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Kuna wakati nikinywa kvant nakata network kabisa naweza kustuka usiku na kujiuliza nilifikaje home. Inawezekana ni za Hawa jamaa Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  19. watambi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mungu ni mwema mangi anidai usiku mwema wakamalia
  20. watambi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naendelea kupumua NEVER GIVE UP
Back
Top Bottom