Search results

  1. W

    NCCR waanza kuteremsha bendera kupinga kutimuliwa kwa Kafulila na wenzake

    Ni kweli mfumo uliopo haukidhi matakwa ya kidemokrasia ya sas lakini kwa kuwa ndiyo utaratibu uliopo ni lazima utumike na kueshimia hadi hapo utakapobadilishwa, hivyo basi kafulila yupo kitanzini ameshanyooshwa hata TLS akina mpangala wakienda mahakamni, mwisho wa siku sheria ndiyo itakuwa...
  2. W

    Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

    Watanzania mnashangza sana, mnashindwa kuelewa kuwa posho za wabunge zimeongezeka kutokana na ukweli kuwa wao walikuwa wakilipwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na watumishi wengine wa serikali kuu kama vile makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa mashirika ya umma, halmashauri mbalimbali...
Back
Top Bottom