Search results

  1. M

    Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

    Watanzania watanzania wenzangu, nashauri tuache jazba katika mambo ambayo hatuna fact nayo, twende tukafanye tafiti kisha turejee, hii ni kwa sababu wengi wetu huwa tunakuwa mabingwa wa kusema tu hata kama hatuna ushahidi,ninaamini kuwa ktk hili la posho wengi wetu hatuna ushahidi wa kutosha...
  2. M

    Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

    Kwanza nimpongeze huyo jamaa aliyewalisha hii mada hapa JF, PILI NIWALAUMU WACHANGIAJI WACHACHE AMBAO WANAANDIKA VITU VISIVYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU. hii kwa sababu hapa JF ni sehemu ya fikraa zinazoishi na siyo kuandika vitu visivyokuwa na hoja zilizotafitiwa. Nadhani inaweza ikawa vema...
Back
Top Bottom