Search results

  1. Missy

    unajua hili???

    Hi Ruttashobolwa karibu hukae nami siti iko hopen
  2. Missy

    unajua hili???

    HP1 habari ya kuHadimika in nzuri Kabisa! Za kwako niaje?
  3. Missy

    Kwanini wadada wa Tanzania ni Tegemezi sana Tofauti na Kenya, Uganda na Pengine

    They are selfish that is why they depend on others!
  4. Missy

    unajua hili???

    Duh mzee utakuwa umeshtukia birthday yako miaka hiyo inajirudi Siku zile zile nini?
  5. Missy

    Husband doesn't respect or listen to me

    My sister, some of them it's like they come from the same womb, try a different approach if that does not work my darling that now will be serious, you will either need help or just walk away before things get worse in the house. That is how they start by ignoring you, not replying if you ask a...
  6. Missy

    Kwanini wadada wa Tanzania ni Tegemezi sana Tofauti na Kenya, Uganda na Pengine

    Ila pia tuangalie pande zote, ni kweli kuna wadada wako hivyo lakini sio % hiyo anayosema Rasjah. Rasjah kumbuka kuna midume mingine nayo hufanyiwa kila kitu an wadada/gf zao and they contribute nothing! Je kwa perspective zako hao (vidume) nao ni % ngapi?
  7. Missy

    Its My Wedding Annivesary

    Jamani RealMan natumaini sijakosea leo ni aniversari yako. Hongera sana kama nimepatia! Tujuze siku ya leo iko vipi kwako na kwa mupenzi wako, siku ya leo umesherekea vipi?
  8. Missy

    Wadada je yanawakuta haya????

    Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume? Is it because they do the same to other ladies instead of doing it to you? Au pia utakuta kama ni girl friend/lover they (the man) comes...
  9. Missy

    Je, JK atatufikisha 2015?

    All I can say nikwamba Mwalimu Nyerere knew better aliposema kuwa JK bado, he was telling us in a diplomatic way that he is not strong for the presidents seat!
  10. Missy

    14 Surprising Facts about Marriage, Affairs & Divorce

    The average affair lasts two to four years. What if it lasts 10 years is that couple a successful one? should they keep going on with it?
  11. Missy

    VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote

    Ameedit baada ya kuona anashambuliwa kwa kuweka hadharani furaha aliyonayo kwa kuona rafiki yake anapoteza ajira Basi huyu ndugu hafai hata kidogo and I pray rafiki yake analigundua hilo mapema ili avunje huo urafiki wa mashaka!
  12. Missy

    Hodi Hodi

    Asante sana kwa kunikaribisha
  13. Missy

    Je ingekuaje kama watu wangekuwa wanaonyesha CV zako kabla ya kuoana?

    I believe AshaDii uko sawa ni nzuri kufahamu past ya mtu. It makes it easy to understand tabia ya yule mtu hviyo kuweza kuishi nae, lakini pia pamoja na hiyo past yake yet we as human beings we tend to change with circumstances
  14. Missy

    Je ingekuaje kama watu wangekuwa wanaonyesha CV zako kabla ya kuoana?

    Kama wapenzi wangekuwa wanaoyeshana CV kabla ya kuona ingekuwaje? 1. Je wangefoji CV? 2. Je wangefoji uhalisia wa maisha yao? 3. Je ndoa zingekuwa zinadumu au zungekuwa zinavunjika kwa kasi zaidi ya sasa? naomba maoni yenu tafadhali
  15. Missy

    VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote

    lakini mbona hii thread does not make sense? inabidi tupate source ya haya maneno inawezeka ikawa ni porojo tu. Tukumbuke mahala popote panapotokea changes kuna wale wanaochukulia postively na wale wa negative. Postive minded they know what they are doing na wale wa negative minded lazima...
  16. Missy

    Hodi Hodi

    Hodi ndugu zanguni wa JF, nimekuwa nikisoma sana topics mbali mbali na sasa nimejikuta na register ili nami nichangie mawazo yangu.
Back
Top Bottom