Search results

  1. zaleo

    Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    I Will never trust tour P. Mayala ukabila umekupofusha macho na akili zako siku hizi. Utapewa ukuu wa wilaya ongeza bidii.
  2. zaleo

    DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Tanzania govt takes away rights to file cases against it at African Court Sasa rasmi mtanzania marufuku kutafuta Haki kisheria. Labda ukatafute Msituni. Wameanza kuitafuta haki yao Mtwara wameingia Lindi. DSM sio mbali. Kabudi na Jiwe lake waendelee kuziba watu vinywa vyao kibabe.
  3. zaleo

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    No one can stoppa Reggae because reggae is strong. They Tried to kill it 3 years ago.......
  4. zaleo

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Sikusema Lisu ni mteule, lakini sikatai Kuwa anaweza Kuwa mteule. Harald wewe unaweza Kuwa mteule. Ni Siri kubwa aijuaye ni Mungu tu. Usitumie nguvu Sana kumzimisha mtu, usijejikuta unapambana na Mungu. Achilia mambo yaende kiasili na sanasana omba Mungu wako audhihirishe ukweli. Usijisumbue...
  5. zaleo

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Wanaboa kwa kweli. Wanajua magonjwa yanayowaandama wastaafu wengi, wamezuia fawa muhimu nyingi. Mfano dawa Za kisukari nyingi, Za hypertensjon nk unaenda dukani wanakwambia dose ya mwezi ni 170,000na hiyo ni moja. Daktari anasema wafanyakazi wadi TRA. Benki wanaruhisiwa bilar shida. Ubaguzi gani...
  6. zaleo

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Kawaambie waliokutuma, mmebugi vibaya. Mteule wa Mungu huwa ni mteule tu hata kama mashetani hayapendi kusikia hayo
  7. zaleo

    Pascal Mayalla na Jacton Manyerere wakubaliana na Spika Ndugai kwa uamuzi wa kumrejesha Mwambe na wabunge 4 waliofukuzwa CHADEMA

    Sijui umeongea nini hapo. Pole sana. Kanten supu ulale. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. zaleo

    Pascal Mayalla na Jacton Manyerere wakubaliana na Spika Ndugai kwa uamuzi wa kumrejesha Mwambe na wabunge 4 waliofukuzwa CHADEMA

    Nilikuwa mfuasi nkubwa Sana wa Pasukali enzi zake za ubora wa mawazo yake. Tangu alipoambiwa na tafsiri ta mayala kisukuma Kuwa ni njaa, basi nayo nguvu ya kufikiri imrgeukia njaa. Hana mvuto tena namnet mabandiko yake. Nayaruka kula nionapo maana kuyasoma kunaniharibia siku. Sent using...
  9. zaleo

    Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

    Endelea na ushabiki wako hata katika mambo ya msingi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. zaleo

    Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

    Unakosea kuamini kuwa vifo vinavyotangazwa na serikali 10 tu ndio Corona. Labda useme umejitoa akili. Si kweli japo unayo haki kuamini utakavyo. Au unangojea familia yako iguswe ndio somo likuingie? Harald Uingereza na China kwenyewe wamesema wanachotangaza Kina mushkeli. Wanahesabu waliofia...
  11. zaleo

    Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

    Hatumii Phd kufikiri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. zaleo

    Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

    Labda mapolisi Wake wale Sent using Jamii Forums mobile app
  13. zaleo

    Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

    Labda ndio maana jiwe likamsagasaga Sent using Jamii Forums mobile app
  14. zaleo

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara ahoji kwanini Naibu Spika Dr. Tulia hajaitwa kwenye kamati ya maadili?

    Na hatarajiwi kuitwa landa ili apongezwe kwa kufanya siasa maji taka. Jiwe anafurahia sana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. zaleo

    Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

    Atateuliwa maana kaivishwa na kambi ya upinzani ambacho ni chuo kikuu cha siasa popote duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. zaleo

    Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

    Wudesi khu! Sent using Jamii Forums mobile app
  17. zaleo

    Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

    Uwunia! Sent using Jamii Forums mobile app
  18. zaleo

    Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

    Waruhusu time huru nawe utaona vitobo Sent using Jamii Forums mobile app
  19. zaleo

    Yuko wapi mzee wetu Mangula tukamjulie hali?

    Hakuna taasisi inayowajibika 100% hasa Afrika. Nyingi ni porojo ambazo ni salama kwao watawala. Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom