Search results

  1. E

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu lita 20 kwa laki mbili wapi hyo, tupe ramani
  2. E

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Dr,subiri uone watakavyotoa povu... Thread ni fupi lakini imegusa pabaya
  3. E

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Huo ndio mwisho wa kufikiri kwake bwana castro, anafikiri amani ni kama sukari, unaenda kuipata tu dukani, ngoja tuone namna atakavyojaribu kuivunja kama hakujikuta moi ward muhimbili na aone kama hao waliomtuma watakwenda hata kumtaka hali.
  4. E

    Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

    Kuna mtawala mmoja wa south Africa aliwahi kusema kuwa waafrika na waarab ni human like species yaan sio full human kind, atazidisha kwa kusema ukitaka kujua hawa watu sio rational humans wape vitu vifuatavyo 1. Uongozi 2. Silaha... So huyo dogo makonde sijui masumbwi ni sawa na mjusi kwenye...
  5. E

    Msaada: Ugonjwa wa Mdudu wa kidole

    Maji maji ya uke ndo dawa yake, trust me 100 %
  6. E

    Msaada: Udhamini ada ya chuo kozi ya sheria

    Duh, watu kimya... Kwa ushauri wangu nenda ITV, hapo kitaeleweka tu
  7. E

    Naomba msaada kuhusu vyeti vya elimu

    Tatizo maelezo yako hayako straight forward, tangu lini cheti kikawa na tarehe ya kuzaliwa? Nna wasi wasi hivyo vyeti sio vyako unataka kuleta kanjanja... Utafungwa, rudi shule utapata haki yako, quid pro quo
  8. E

    Hivi ni wapi wanapoweza kushitaki endapo waajiri wao hawawatendei haki?

    Ila kwa mfanyakaz ambaye ni mwanachama wa chama cha wafanyakazi kimbilio lake ni kwenye chama, huko atapata msaada wa uwakilishi mahakamani au cma, mf wa vyama vya wafanyakazi ni tuico, tughe, talgwu nk
  9. E

    Bahati nasibu katika mitandao ya simu ipo kwa ajili ya maskini tu?

    Naungana na mtoa uzi, hizi ni fix tu, system yao ya uchezeshaji ni very technical so kwa kuwa ni computerised huwa wanaset who wins, utafiti wangu binafsi nimegundua namba zote zinazoshinda huwa special au standard numbers in most cases... Jamaa mmoja kitaa akanidokeza eti huwa wanaset mtu...
  10. E

    GWAJIMA atolewa ICU apelekwa wodi ya kawaida.

    Man Gwaggy nae woga, sa hapo ndo mjue usanii wa most of our pastors na Bishops, sa check hao ni police tu kazima je angekua Devil mwenyew si angetuacha kondoo wa Bwana huyu msanii
  11. E

    Gwajima Siyo mtanzania, hatarini kurudishwa kwao

    Duh kazi kwl kweli, yani watu wanatoka povu kwa kujitwika uwakili wa rapper maarufu man gwaggy, kuweni na subira jamani tutakuja kujua mbivu na mbichi
  12. E

    Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

    Dah, kweli we mchambuzi
  13. E

    Makomandoo wa Bongo

    Teh,jamani eeh,kila binadamu ni komandoo kiasili,hii ni kwa misingi ya uvumilivu,ujasiri,nguvu na utumizi wa akili kulingana na mazingira na uhitaji...nani anabisha? Chunguza maisha yako utagundua kama wewe ni komando au sungusungu.
  14. E

    Daughter finds her mother having an affair.

    Vumbi tupu,inaonekana muktadha haushabihiani na wa kwetu
  15. E

    Two idi0ts

    Hahahahaa,they are true ------
  16. E

    Chips kuku bei gani kama nimekuja na kuku wangu

    Duh,na ukienda kwa changudoa unabeba nini?
  17. E

    Tafadhali soma hii inakuhusu wewe

    Watu wasiojua dini bana,tabu tupu,sa tutype ameni afu utubariki we Mungu? Ushindwe na uyeyuke
  18. E

    Huyu Mke Kiboko

    ukiona manyoya ujue...
  19. E

    Unaweza ukapiga ukaua

    duh,dogo mangi
Back
Top Bottom