Search results

  1. mwandiga

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Kabla ya kusema lolote naomba mtaalam yeyote aeleze maana ya23% kima cha chini. Hii 23% itaenda kwa kima cha kati au juu au hao hawaongezewi maana wananchi mtaani wanajua kila mtu anaongezewa 23%. Yaani kama mtu analipwa milioni 10 anaongezwea 23% yake
  2. mwandiga

    Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Bima ya afya unaambiwa dawa hakuna kanunue kwenye maduka
  3. mwandiga

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Kwanza wewe sio mtoto tena. Ni baba. Miaka 41 ni baba mwenye watoto hata 5. Baba yako kauza mali zake kwa raha zake. Wewe tafuta zako ujenge uuze. Amekulea ukafikisha miaka 18 inatosha. Acha akili mgando
  4. mwandiga

    Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Kutokuwa na dini sio kwamba hawaamini Mungu yupo. Dini ni taasisi tu ambazo siku hizi zimekuwa zikichukua pesa kwa waumini hadi anatoka damu. Dini na madhehebu yanatofuautiana taratibu, sala, miongozo, matumizi ya sadaka lakini Mungu ni mmoja na habadiliki. Kuliko kunyonywa hivi ni bora ubaki...
  5. mwandiga

    Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Wala sio shetani usimsingizie. Ni akili za binadamu na muda wake umefika. Kila zama na kitabu chake. Miaka 20 ijayo huenda ushoga usiwepo iwe jambo jingine kutokana na zama za wakati huo. Shetani has nothing to na hizi mambo za ushoga.
  6. mwandiga

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Vitendo vipi. Vitaje hapa na uweke uthibitisho wako.
  7. mwandiga

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Tumia basi kichwa kufikiri. Acha kutumia vitu vingine kufikiri. Sio matumizi yake.
  8. mwandiga

    Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

    Mkubwa umesema vyema sana. Huwa unamwambia lia ukimaliza tunaanza upya. Wajinga sana na vimachozi vyao
  9. mwandiga

    Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Wakuje tu maana nao safari yao wataishia 12ft kama kawa
  10. mwandiga

    Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Ziko poa sana. Sasa hivi unganisha na falsafa za Machiavelli mamno yanakwenda saaaaaaafi sana Mshana
  11. mwandiga

    Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu. Njooni mniuwe
  12. mwandiga

    Wanapata wapi ujasiri wa kupamba Madhabahu kwa picha za wafu?

    Ufafanuzi tafadhali. Unamaanisha kuwa kabla ya yesu hapakuwa na kanisa? Na je alilianzisha lini wataki gsni wa umri wake? Je wale makuhani na wakuu wa masunagogi na hekaluni ilikuwa ni nini.
  13. mwandiga

    Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

    Mageuzi yapi ndugu. Wewe umeona wanaoajiriwa wawe na elimu gani na pia ulimsikia waziri wao. Unaona ni akili za kubadilika. Kazi ina laanaa. Uchawi unaanziaga kwenye vitendo kama hivi. Unaloga hadi kizazi chake cha kumi na wote watakaokula hiyo hela
  14. mwandiga

    Dkt. Abbas wafungieni Prime Time kwa ujinga wa Fally Ipupa kukanyaga fedha yetu. Serikali itoe tamko kali

    Wizara ilikuwepo iliona hili. Huenda hakuna mlalamikaji ndio maana ujaona kimya
  15. mwandiga

    Dkt. Abbas wafungieni Prime Time kwa ujinga wa Fally Ipupa kukanyaga fedha yetu. Serikali itoe tamko kali

    Hilo ni kosa la jinai. Huenda hakuna mlalamikaji. Nenda kituo cha polisi cha karibu utoe malalamiko yako
  16. mwandiga

    Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Kweli sina akili mm. Wewe mwenye akili weka hapa ratiba ya ndege chato leo tarehe 14 na kesho na kesho kutwa. Na za mwezi ujao
  17. mwandiga

    Walimu wa Sekondari kusimamia mitihani ya Shule za msingi ni udhalilishaji wa taaluma nchini

    Tumia akili ndogo tu ya kujua msimamizi wa mtihani ana majukumu yapi. Je yanahitaji saikolojia, je yanahitaji degree. Mtu yeyote anaweza kusimamia mtihani wowote as long as amepewa semina na kuelekezwa anapaswa kufanya nn. Msimamizi hafundishi, hatoi majibu, hasahihishi,
  18. mwandiga

    Hivi ndoa za Roman Catholic ukiingia kunakutoka kweli?

    Ndugu yangu usiisemee dini ya mwenzako vibaya. How if wewe na dini yako ndio mna mungu wenu. Kila dini inaamini katika mungu ambaye wanadini wanamjua ila Mungu ni mmoja tuuuuu. Dini ndio nawazo ya watu.
  19. mwandiga

    Hivi ndoa za Roman Catholic ukiingia kunakutoka kweli?

    Hivi wewe unajua kuwa Mungu yupo mmoja tu. Na Mungu sio dini wala dini sio Mungu. Dini ni mawqzo ya binadamu. Haya ya kufunga na kufungwa waislam hawana, wahindi hawana,, lakini Mungu ni yule yule. Wewe unachanganya Dini na Mungu. Mimi naongelea kuhusu Dini sio Mungu. Mungu anabaku kuwa Mungu...
  20. mwandiga

    Hivi ndoa za Roman Catholic ukiingia kunakutoka kweli?

    Wapi ametaja kanisa, wapi ametajwa padri au mchungaji. Wewe kanisa unadhani ni jengo. Na ujue mkishazaa watoto ndio mmeunganishwa. Read btn the lines. Usidhani eti ni kuwa hakuna kuachana. Soma maandiko kuhusu talaka. Kuachana kupi palepale. Kama hamuendani unaoa mwingine mnayeendana.
Back
Top Bottom