Search results

  1. Michael Amon

    INAUZWA Kinanda Cha Music Production

    Ndio, bado kipo.
  2. Michael Amon

    Festo Dugange: Serikali inajenga vituo vya Kusubiria wagonjwa Kwenye Hospitali ili kuondoa kero kwa ndugu

    Wanaosubiri kuona wagonjwa wajengewe Hostel? Nadhani hili si sahihi. Kwa ufahamu wangu mdogo ambao Mungu amenijalia, hostel ni mahali ambapo hutoa huduma ya chakula na malazi kwa kikundi cha watu, kama vile wanafunzi, wafanyakazi au wasafiri. Sasa kama mtu anatoka umbali wa Kilomita chache...
  3. Michael Amon

    Nimewaza kufanya blogging kama part time, kiuhalisia kwa hapa bongo nitaweza kunufaika kiuchumi?

    Kwanza, Search Engine sio duka mkuu. Kama Search Engine ingekuwa ni duka basi watu wangekuwa wanalipia ili post zao ziwe rank nzuri. Pili, naomba utofautishe website rank na post rank. Kuwa na post nyingi kunaweza kusaidia website iwe na rank nzuri lakini kuwa na post nyingi hakuwezi kufanya...
  4. Michael Amon

    Nimewaza kufanya blogging kama part time, kiuhalisia kwa hapa bongo nitaweza kunufaika kiuchumi?

    Kuna mengi usiyo yafahamu kuhusu Search Engine Optimization (SEO). Kuwa na post nyingi kwenye blogu au tovuti, hakuwezi kufanya posti hizo ziweze kuwa na rank nzuri kwenye search results.
  5. Michael Amon

    Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Weka source ya hii list. Kama hii list haijatoka bloomberg basi ni ya uongo.
  6. Michael Amon

    Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    Correction: Ni Megawati 2,115 na sio Megawati 2,100 kama ulivyoandika.
  7. Michael Amon

    INAUZWA Vacuum Cleaner Mpya

    😂😂😂
  8. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kipo very far from that place. Na eneo wanalotoa fidia si eneo hilo. Ni mbali sana, nyuma ya power plant. Upande niliopo hawawezi kuongeza eneo hata kama wakitaka maana njia kuu ya gridi ya taifa itawazuia kufanya hivyo.
  9. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kipo Songas Road. Mbele kidogo ya Songas Power Plant.
  10. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Mwenye macho, haambiwi tazama.
  11. Michael Amon

    Computer4Sale Dell latitude laptop inauzwa

    DELL LATITUDE LAPTOP INAUZWA SPECIFICATIONS: Screen Size: 14 inch Processor: Intel Core i3 RAM: 4GB Hard Disk: 500GB Bei: 500,000 Mawasiliano: 0768444224
  12. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
  13. Michael Amon

    INAUZWA Vacuum Cleaner Mpya

    Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja. Bei: 250,000 Location: Arusha Mawasiliano: 0768444224
  14. Michael Amon

    INAUZWA Kinanda Cha Music Production

    Nimeweka mkuu
  15. Michael Amon

    INAUZWA Kinanda Cha Music Production

    Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo. Kinafanya kazi na software zote za music production kama vile Ableton Live, Fl Studio, CueBase, Pro Tools, etc. Bei: 650,000...
  16. Michael Amon

    Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa, ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe. Hata hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
  17. Michael Amon

    Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?
  18. Michael Amon

    Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
Back
Top Bottom