Search results

  1. Rajabu kiama

    Tutafika

    Ni muda mrefu sasa sijaingia humu naomba kuuliza na nisaidiwe kimawazo huu mgao wa umeme mbona shida
  2. Rajabu kiama

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    Jamani Diamond nasikia kachukua tatu tena ni kweli
  3. Rajabu kiama

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu
  4. Rajabu kiama

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    si matahira tu wamechanganyikiwa tuwapelekeni mirembe kwani ni karibu na huko maisha wanapoona maisha yamepanda:A S 465::juggle::A S embarassed::tongue::A S 465:
  5. Rajabu kiama

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    kisha chake eti maisha yamepanda katika mkoa wa DOM hayo ndo maneno ya spika live on tbc anaboa
  6. Rajabu kiama

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Hivi ni lini watavaa uzalendo na kuacha ugonjwa wao wa mwenye nacho huongezewa na ufisadi au mpaka tuwachape kama wa nchi x alivyowalipulia bomu la machozi wezake???
  7. Rajabu kiama

    Je tutafika kwa mtindo huu

    mchakoto wa katiba mpya kwa upande wangu inatisha kwa kuona viongozi wetu wenye zamana wakirumbana na kukutana vikundi kwa vikundi na raisi kwann wasikutane wote kwa pamoja na la zaidi rais anapendekeza uchaguzi ujao katiba mpya iwe tayari hivi ni rahisi kiasi hicho miaka 2 kwa upande wangu...
Back
Top Bottom