Search results

  1. Mbayuwa2

    CHADEMA kutikisa tena Kimara, Mtaa wa Mavurunza

    Ndiyo tuseme hao wachaga wanadhamini mikutano ya Chadema tu? Ukabila si mzuri kwa Nchi inayokua kama Tanzania, mwingine akisoma hii thread yako, tayari kashajua wewe uko upande gani...
  2. Mbayuwa2

    DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

    yetu macho. kwani 2015 mbali??
  3. Mbayuwa2

    CHADEMA wameshindwa kumuua nyani wameshamwangalia nyani usoni-Like the candle in the wind

    Nilikuwa nasoma hii makala kama ushairi wenye vina vya kati na mwisho.Mlianza vizuri, mlikuwa mnapiga mbio vizuri nani amewaroga? Nani kawadanganya kuwa hoja zenu nzuri ambazo mlizipeleka ikulu pasi kupata baraka za wanachama wenu..zilibarikiwa? mkafika, mkakaa kwenye makochi na kunywa gahawa na...
  4. Mbayuwa2

    CHADEMA wameshindwa kumuua nyani wameshamwangalia nyani usoni-Like the candle in the wind

    Nilikuwa nasoma hii makala kama ushairi wenye vina vya kati na mwisho.Mlianza vizuri, mlikuwa mnapiga mbio vizuri nani amewaroga? Nani kawadanganya kuwa hoja zenu nzuri ambazo mlizipeleka ikulu pasi kupata baraka za wanachama wenu..zilibarikiwa? mkafika, mkakaa kwenye makochi na kunywa gahawa na...
  5. Mbayuwa2

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Mimi niko kimya tu, mkilianzisha nasaport 100% kuanzia iissue ya richmond,Kiwira, mafuta kukosekana, posho za wabunge, migomo ya waalimu, madaktari bado askari, wanajeshi na magereza. Mi niko tu nasikilizia, hii ya ridhiwani ikikamilika tu, msishangae nikawa wa kwanza kupigwa risasi kwa ajili ya...
  6. Mbayuwa2

    Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

    Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama..... umejuaje wanakutazma wewe kama si kujishtukia? Achanana na tabia ya kugeukageuka nyuma, utaishi kwa amani. Inaonekana kuna kitu ulifanya then unattaka kupata...
  7. Mbayuwa2

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Nimefuatilia sana hizo wizara zilizotajwa kuwa zinaoongoza kwa ukabila, lakni sijaona Wizara ya mali asili, na utalii hususan TANAPA Sijaona NSSF ikitajwa na BOT. Huko nako wamejaa wahaya, wachaga na wanyakusa? Nawasilisha. Before you judge others, start with yourself
  8. Mbayuwa2

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    [/I][/FONT][/COLOR] Halafu ukishaibandika ndiyo umefanya nini? jibu hoja kwa hoja acha shutuma na kutafuta makosa
  9. Mbayuwa2

    Nape Nnauye anajiita 'Mtoto wa Kuli'

    Mtoto wa kuli, anataka kumficha nani huyu vuvuzela. Amekosa cha kuropoka anaanza kujisemea mwenyewe. Tumwache tu hadi 2013 atataja majina yake yote na ya baba yake mzazi.
  10. Mbayuwa2

    Nataka nisiwahi kupiga bao nifanyaje?

    Kuna njia nyingi zinazofanya mtu akawahi kupiga bao wakati wa kujamiana mojawapo ni punyeto za mara kwa mara. Nawasilisha
  11. Mbayuwa2

    MwanaHalisi: Serikali hali ngumu - yaagiza kusitisha ajira na kutopandisha vyeo kuelekea 2012

    Jaman wana JF. kama mwajiri wetu kafulisika? Mishahara yetu je!
  12. Mbayuwa2

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Dah, maskini Makyembe... usikate tamaa mkuu, wanaharakati tuko nyuma yako katika positive changes ya JMT
  13. Mbayuwa2

    Kikwete, Unatuchanganya bwana!

    Mi naona kama analipa fadhila.... japo zaweza kuwa ni kwa faida binafsi, nchi au wananchi. Tusubiri tuwaone.. You can't make an omelet without breaking Eggs
  14. Mbayuwa2

    Hatukubaliani na maamuzi ya kidikteta ya "prof mkandala" vc "udsm"

    Una haki ya kuuliza na kulalamika mwana JF mwenzangu. Tunavyoijua UDSM, mimi nimekaa hall one pale, floor ya tatu, sitaki nizungumzie vyoo wakati maji hamna. Ila cha msingi hapa mi naona kuna bifu zito kati yenu na utawala wa chuo, pia na utawala wa serikali iliyoko madarakani. Ndiyo tulizomea...
  15. Mbayuwa2

    Ananisumbua...!!

    Dah inakuwa ngumu kwani hata mimi ni 3rd part, sijui huyu jamaa au huyo msichana kwa undani kama wanavyojuana wenyewe. May I please reserve my comments for now!! Ukizama ujue kuogelea!!!!
  16. Mbayuwa2

    Hodi wenyewe

    Napenda kuwasalimu katika yeye anitiae nguvu..... Tutakuwa pamoja katika kutoa maoni, burudani na ushauri kwa hii jamii blog, tuache ubinafsi lete hoja na maoni humu tuzungumze... asanteni kwa ukaribisho mzuri
  17. Mbayuwa2

    Migomo: Kenya Vs TZ

    Mkuu, lakini walimu wamekuwa wananyanyasika sana kila kukicha, hebu fikiria kila siku wanalia njaa, hata zile biashara za maandazi, ubuyu, ice cream mashuleni ambapo walikuwa wanajipatia angalau nauli, Serikali imezipiga stop. Je ni waalimu hawa hawa wakitishia kugoma wanadanganywa kama watoto...
  18. Mbayuwa2

    Hivi Kuna Siri Gani Hapa Jamani?

    Wana JF, inafika wakati tuwe na utaratibu wa kuelimishana na kueleweshana mambo mbalimbali, hii ni forum ya jamii ambayo inaruhusu kila member wake aweke maoni, mapendekezo na ushauri wake humu. Mimi mwenyewe naipenda sana hii blog kwani siku haipiti bila kupitipitia humu angalau kujua ni kitu...
  19. Mbayuwa2

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Ni vizuri kila mtu akajua kwamba, kuwa mwanachama wa chama fulani kunategemeana na yale ambayo anapenda kuyaona katika chama A lakini kwa bahati mbaya au kwa makusudi basi chama hakuna. hapo ndipo mtu kwa hiari yake, nafsi na kwa kuthamini anachokiamini ndipo huamua kujiunga na chama B. Kwa...
Back
Top Bottom