Search results

  1. Ilu

    MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Aendelee na form one kisha atafanya mtihani wa STD VII 2023. Hata waliofutiwa mtuhani mwaka jana walifanyiwa hivyo.
  2. Ilu

    Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
  3. Ilu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi mwezi huu nilipata 30gb kw 25 ilikuwa tarehe 1 Oct. Ngoja nione kama 1 Nov watanipa tena 30gb.
  4. Ilu

    Must see Movies

    Gabriel's Inferno and Gabriel's Rapture
  5. Ilu

    Must see Movies

    Zaidi ya kawaida
  6. Ilu

    Must see Movies

    Kwa wapenzi wa love story hii movie ni nzuri sana. Gbriel's Inferno zipo part 3 na Gabriel's Rapture zipo 3 pia.
  7. Ilu

    Serikali yafungia Mchongo pesa na Chota mihela

    Yaaani nilikuwa nashangaa kinachoendelea redioni. Serikqli imefanya vema. Watu walikuwa wanaliwa sana.
  8. Ilu

    Naliona anguko la Ramaphosa kama la mtangulizi wake Zuma

    Ramaphosa nae akisurubiwa South Africa itaweka record.
  9. Ilu

    "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Nadhani unamanisha 'Usijenge familia kukiwa kumekuchwa na si kumekucha'. Kumekucha ni kinyume cha kumekuchwa. Kumekucha ni asubuhi na inamaanisha kuwahi jamboo. Kumekuchwa ni jioni yaani kuchelewa kwa maana ya sentensi yako.
  10. Ilu

    Remote ya Luku inasumbua kuingiza umeme

    Badili betri weka mpya.
  11. Ilu

    Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    Polee sana ndugu. Namauombea Mtoto nafuu na suluhusho la ugonjwa lipatikane.
  12. Ilu

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Mimi nina mti hivyo kila siku asbh nachemsha majani nakunywa maji yake. Kama huna mti, unakausha majani yake unasaga unahifadhi. Unachemsha kila siku unga kama vijiko viwili au vitatu vya chakula kwa lita 1½.
  13. Ilu

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Mlonge ndio kiboko na si kwa uric acid tuu atatibu mambo mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom