Search results

  1. Mpigania Uhuru

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Hakuna mtu anaweza kufa bila kupata cardiac arrest. Cardiac arrest maana yake ni moyo kusimama (yaani kifo), kwa hiyo kifo hakiwezi kuwa sababu ya kifo. Maneno au report kama hizi zinasababisha wenzetu nje ya nchi wakisikia waone Tanzania hakuna watu wanaojitambua. Nafikiri familia ilimaanisha...
  2. Mpigania Uhuru

    Mliowahi kuomba kazi mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) mpitie hapa

    Mkuu mimi nipo UN kama international personnel, kwa ufupi kimsingi hakuna shirika lolote la UN linalotajiri mtu mara ya kwanza katika mazingira ya kawaida kwa mtu kutuma CV kwa email. Wengi wanatumia form inaitwa P11 ambayo utaikuta online tayari kwa hiyo utakuwa unajaza kila step, mwisho wa...
  3. Mpigania Uhuru

    Kujifungua mtoto wiki ya 23

    Unhitaji kuonwa na daktari wa magonjwa ya kinamama kwa uchunguzi zaidi. Sababu zipo nyingi, kutokana na maelezo uliyotoa ingawa bado kuna vitu sivijui kuhusiana na wewe, kuna uwezekano kiwango kikubwa kuwa ni Cervical incomptence. Tiba yake ni wakati wa uja uzito kuna dawa unaweza pewa na...
  4. Mpigania Uhuru

    Hili suala la Benki kuweka wazi taarifa za fedha za mtu kwenye sakata la Mwanza limekaaje?

    Kutokana na hiyo taarifa, account yangu ya CRDB sitaitumia tena kwa alili ya biashara zangu. Hii tabia ya kutoka siri za wateja, inaonekana wanayo siku nyingi. Account yangu naenda kuifunga.
  5. Mpigania Uhuru

    Nauza Tank za maji za lita 1000 zile zenye chuma bei nafuu

    Unapikana mji gani na mtaa gani?
  6. Mpigania Uhuru

    Msaada wa kisheria kwa mtu aliyepata ulemavu kazini

    Kuna mfuko umeanzishwa unaitwa WCF, utaanza kupokea claims mwaka huu July 1 mwaka huu. Ila yeye anaweza asiwe eligible.
  7. Mpigania Uhuru

    Msaada wa kisheria kwa mtu aliyepata ulemavu kazini

    Ni Kweli alivyomweleza mwanasheria. Afadhali amechukua hiyo hela faster. Andeenda mahakamani angelipwa hela isiyozidi laki na ishirini. Cha kumsaidia aongee na hao Wachina vizuri, aendelee kuajiriwa na hao wachina katika section ambayo ataimudu na ulemavu wake.
  8. Mpigania Uhuru

    Ugonjwa wa Ebola walipuka Congo DRC (Ebola outbreak: DR Congo confirms two deaths)

    The Democratic Republic of Congo has confirmed that an outbreak of haemorrhagic fever in the north of the country has been identified as Ebola. Health Minister Felix Numbi told the BBC that tests on two people had confirmed the disease in Equateur province, where 13 had already died. But...
  9. Mpigania Uhuru

    Ugonjwa wa Ebola walipuka Congo DRC (Ebola outbreak: DR Congo confirms two deaths)

    Hao ni wagonjwa wa kwanza wa Ebola kuripotiwa nje ya Afrika Magharibi tangu kuzuka kwa ugonjwa huo huko, ingawaje haijaeleweka wazi kama vifo vya watu hao vinahusiana na mlipuko wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi. Mpaka sasa watu 1,427 wamekufa kutokana na maambukizo ya virusi vya Ebola...
  10. Mpigania Uhuru

    Drowning

    sawa mkuu, nikipata muda nitaweka kwa Kiswahili pia, ila natamani kila mwana JF angeisoma hii article akaielewa, hasa wale wanaopenda kutoka outing ambazo ambazo wao wenyewe au rafiki zao wanapenda kuogelea!
  11. Mpigania Uhuru

    Drowning

    With the recent story about kids who were drowning in Land mark swimming pool, I thought it is good idea to share knowledge about drowning; The Instinctive Drowning Response—so named by Francesco A. Pia, Ph.D., is what people do to avoid actual or perceived suffocation in the water. And it...
  12. Mpigania Uhuru

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Haya mahesabu yanategemea mzunguko wake ni wa siku 21, 28, 35 etc. Kama mzunguko wako ni wa siku 28 tarehe ya makisio ni 15 April 2014.
  13. Mpigania Uhuru

    KATIBA MPYA: Waganga wa kienyeji wawazidi Madaktari (MAT)

    Nianze kwa kusema kila taaaluma ina umuhimu wa kipekee katika jamii. Katika sekta ya afya katika hali ya kushangaza Rais aliyatupilia mbali majina ya drs waliopendekezwa na MAT na badala yake akaona fani ya afya iwakilishwe na maoni kutoka chama cha waganga wa jadi. Aidha serikali...
  14. Mpigania Uhuru

    Mgombea wa udiwani Chadema adaiwa kutekwa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA KANDA YA KASKAZINI (Tanga, Kilimanjaro, Arusha & Manyara) TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi...
  15. Mpigania Uhuru

    Majambazi Yakamatwa Zanzibar!!

    Kuhusu mali zilizoibiwa pesa taslim T.sh 3,900,000/= zimepatikana na kwamba mtuhumiwa wa pili ndiye aliyekamatwa nazo pamoja na simu ya mlalamikaji, kadi ya Benki na leseni ya udereva. Katika sakata la ukamataji Mtuhumiwa huyu aliutupa ule mfuko wa pesa na mtoto mmoja aliuchukua na kukimbia nao...
  16. Mpigania Uhuru

    Majambazi Yakamatwa Zanzibar!!

    "Habari za mchana ndugu wanahabari, tumewaita ili kutoa taarifa kwa wananchi juu ya tukio ambalo limetokea ndani ya Mkoa wetu ambalo kwa kiasi kikubwa linataka ufafanuzi kutokana na jinsi linavyozungumzwa huko nje. Siku ya tarehe 13/01/2014 majira saa 9:55 jioni hapo Rahaleo kwa Mchina Tambi...
  17. Mpigania Uhuru

    BADO SIJAAMINI!!!!! mwanamke ajifungua chura baada ya kuoga bwawani nhini kenya!!!

    hiyo inaitwa anencephaly. Inatokana na mtoto kuzaliwa bila kuwa na sehemu kubwa ya ubongo. Anayependa aende google images atafute anencephaly ataona picha kama hizo nyingi. Halina uhusiano wowote na mayai ya chura. Thanx.
  18. Mpigania Uhuru

    Majambazi saba yakamatwa dar wakiwa na sare za askari polisi

    Hii habari ni ya ukweli! Hawa jamaa walikuwa wamepanga kuteka gari la mzungu mmoja ambaye alikuwa anaenda mkoani kutokea Dar akiwa na hela za kigeni zenye thamani ya Tsh milioni 700. Hawa majambazi kuna mtu aliwachomea kwa police wakiwa maeneo ya kiluvya na Gari mbili wakiwa wanasubiri kupigiwa...
  19. Mpigania Uhuru

    Majambazi saba yakamatwa dar wakiwa na sare za askari polisi

    Hii habari ni ya ukweli! Hawa jamaa walikuwa wamepanga kuteka gari la mzungu mmoja ambaye alikuwa anaenda mkoani kutokea Dar akiwa na hela za kigeni zenye thamani ya Tsh milioni 700. Hawa majambazi kuna mtu aliwachomea kwa police wakiwa maeneo ya kiluvya na Gari mbili wakiwa wanasubiri kupigiwa...
Back
Top Bottom