Search results

  1. C

    Mabalozi 12 wa CCM Arumeru Mashariki wahamia CDM?

    Mungu ni mmoja tu na hatishiwi mawe wala barafu, ila vijimiungu viko vingi na vina majina kibao mengine hujawahi kuyasikia tangu uzaliwe na mengine hutayasikia hadi unakufa!! Uliza waliotembelea india, china, japan, singapore, burma, tibet, na maeneo mengi ya mashariki ya mbali, au gugo 'gods'...
  2. C

    Updates: Kesi ya Mpendazoe v/s Mahanga

    huyu sasa anavunja rekodi, kila listi yeye yumo: mafisadi wa elimu, mafisadi papa,nguru na kambale, na sasa kwenye listi mpya ya mafisadi wa kura, mods piga ban huyu kama ni memba katika hii foram yetu....khaaaa!!!
  3. C

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    This is very heavy allegation psychologically by BWM against VKN, at its highest level can even cause a suicide attempt by the victim!!! So, the best solution and remedy is for the defaulter to send an apology message in a manner suggested by the victim. Blessed is the one that resolve...
  4. C

    Mwakyembe arejea nchini; afya yake yaimarika

    I'm smelling something fishy! No visuals, no audio, why is he hiding?!! Only Victor says....'my brother harrison is in good shape, will be in office on monday'....well, well, well, monday is just around the corner!!!
  5. C

    Mwakilishi jimbo la Bububu afariki dunia

    R.I.P mwakilishi wetu wa Bububu!
  6. C

    US, EU and Japan challenge China on rare earths at WTO

    Tanzania wake up, hot deal on our plate. Plenty of rare earth material have been discovered in Morogoro region area, Rukwa, Singida, Mbeya and so on and so forth. By the way Uranium is also a Rare Earth material, so watch out boy!!!
  7. C

    Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

    waweza ongeza para nyingi tu kujazia minofu kwenye skeleton, e.g mmoja anabrashiwa viatu na suti za bei kali toka arabuni, simpo and klia kabisa, why not eeeh??!!
  8. C

    Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

    enjo usinielewe vibaya dadangu, sina nia ya kumfanyia promo LOWASSA, sidhani kama anahitaji promo yoyote. Hapa tunajadili utendaji tukihusisha na maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa!! Haihitajiki promo yoyote au kumbeba mwanao aliyefaulu kwa kiwango cha divisheni wani, ila yule wa div.IV lazima...
  9. C

    Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

    Ukiwafanyia tathmini ya haraka haraka, utagundua kwamba kila mmoja ana mapungufu yake! Hata hivyo kwa uchache ni kuwa: JK ni mzito wa kuamua, mzito wa kutekeleza na mwepesi wa kusahau! PM Pinda yeye ni mzuri katika kurudia rudia maamuzi yaliyotolewa JK na hivyo kumfanya awe kigeugeu kwa...
  10. C

    Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

    Maybe the chairman isn't feeling well physically, eg. Malaria, so due to the urgency of the meeting felt better to call the CC members to State House, ok!!?
  11. C

    Simba/Kiyovu Live update!

    Naona leo uzalendo uko matawi ya juu, hamna shabiki wa yanga aliyevaa jezi za wapinzani wa Mnyama SIMBA!!! SIMBA 0 -0 KIYOVU
  12. C

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    na mkuu wa kaya alienda akarudi hajawashughulikia, akaenda tena akarudi hali ni ileile, hadi madoctor wameamua sasa muda umetosha, aamue kumsuka mwanaa... au anyolewe kipara chweee!! mhh, madokta ni nouma aisee, duh!!
  13. C

    Simba/Kiyovu Live update!

    Masaa machache yajayo kitaeleweka kama SIMBA ndio dume la soka upande huu wa kanda ya Afrika Mashariki na kati. Go......go.....SIMBA go!!!
  14. C

    Simba/Kiyovu Live update!

    full tym results: SIMBA 2 - 1 KIYOVU Simba sasa kukutana timu toka Algeria. Maandalizi yaanze mapema kuwatoa waarabu. Hongera Simba, kazeni buti vijana!!
  15. C

    George Frederick Mbowe hatunae tena, JK atuma salamu za rambirambi

    hi mkandya! Huyu marehemu si mangi aisee, ni mnyasa kama mkulo. Anyway r.i.p bana kuba, cc yote iko jua veve chukua jumba ote, pana chezea sajili majumba, lakin hindi ote nachia cc kaa gorofani jini, swahili ote fukuza kabisa town!
  16. C

    Stars/Msumbiji Live update!

    Goli la Staz la kusawazisha lilikuwa tamu sana, shuti kali la kiufundi kipa hakuwa na la kufanya. Big up Staz, Ngasa anaingia kipindi cha pili, tutegemee chenga nyingi na magoli zaidi.
  17. C

    Stars/Msumbiji Live update!

    Boko ndani, Samatta out! Game tayari limeanza!
  18. C

    Stars/Msumbiji Live update!

    Sasa kaeni mguu upande brass bendi inaanza kupasha kwa ajili ya nyimbo za taifa, nikisema mguu sawa...Mungu ibariki Aaafriikaa, Wabarikii viongozi wakeee.... (ila viongozi mafisadi Noo plz!!)
  19. C

    Stars/Msumbiji Live update!

    Msumbiji wanaingia uwanjani, wamakonde wanashangilia utasema hili game linapigwa Mozambique, mweee...!?!?? Washabiki wa bongo wanawaonea gele wameanzisha vagi kwenye majukwaa ya simba!!! Duh, imebidi wahame, aiseee!!
  20. C

    Stars/Msumbiji Live update!

    Staz tayari wako uwanjani kupasha, Nizzar na Nsajigwa ndani first eleven ya Paulsen.
Back
Top Bottom