Search results

  1. dlamini

    Watanzania mkitaka kujua 'unafiki' tulionao, subirini vituko atakavyofanya Dr. Ryoba

    Asante. Huna HOJA BALI NI KEJELI TU ZA KIPUUZI. HIZO TV ZINGINE UNAZOANGALIA ZINAKUPA NINI CHA ZIADA IN YOUR LIFE? SHAME
  2. dlamini

    Watanzania mkitaka kujua 'unafiki' tulionao, subirini vituko atakavyofanya Dr. Ryoba

    Sawa ENDELEA TU KUTOKUTAZAMA TBC. WEWE MTU MMOJA UTAATHIRI NINI WAKATI KUNA WATANZANIA MILION 40 WANAOTAZAMA TBC!!!!
  3. dlamini

    Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    Hakuna nchi imewahi kusonga mbele bila mzungu Soma Vitabu Uelimike. Soma Historia ya Enzi na Enzi Kuhusu Mtu Mweusi Alivyofanya Kazi Kubwa Katika Maendeleo ya Hii Marekani na Uingereza ya Leo Ambayo Kwako Unawaona Kama Miungu Watu
  4. dlamini

    Maalim Seif amvaa IGP

    Kwa Mujibu wa Sheria, Polisi ni chombo huru cha dola ambacho kazi yangu ni kuhakikisha Usalama wa Raia na Mali Zake. Je, Unaweza Kutufafanulia Kauli yako, ni kwa vipi polisi ni tawi na ccm?
  5. dlamini

    Maalim Seif amvaa IGP

    Mimi ni Mtanzania ila pengine wewe ni mtanzania BORA ZAIDI maana badala ya kujibu swali unauliza uraia. Kwa Mara Nyingine, Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe...
  6. dlamini

    Maalim Seif amvaa IGP

    Tunaomba Ufafanue Kauli yako. Ni kwa vipi polisi wanatumika? wanatumika katika mambo/masuala gani na wanatumiwa na nani na kwa faida ya nani? Nomba ufafanue ili nikuelewe maana umesema "polisi wanatumika"..
  7. dlamini

    Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

    Una Lengo Gani Katika Hili andiko lako la kichochezi?????
  8. dlamini

    Majibu ya Prof. Kitila Mkumbo kwa Tundu Lissu

    So kwa kuwa hajasema unachopenda kusikia ndio maana unamuona msomi uchwara? so angetoa comments mfano za kumpamba lisu au ukawa pia ungembeza? Nadhani hata wewe una tatizo kubwa la uelewa.
  9. dlamini

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    ni kweli. sina uwezo wala muda wa kufikiri jambo mufilisi kama ukuta sijui ukata au ukiwa.
  10. dlamini

    CCM kupitia Ole Sendeka watuma salamu kwa CDM dhidi ya kile kilichoitwa operation UKUTA

    u mlianza na ukiwa, sasa ukata, badae ni mfereji. siasa za majitaka. safari hii hamumpati mtu katika maandamano yenu ya kipuuzi.
  11. dlamini

    Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

    tamko hili ni sahihi.
  12. dlamini

    Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Kwa hiyo unadharau na kudhihaki kauli mbiu ya Mheshimiwa Rais JPM ya "Hapa Kazi Tu"?? Kauli Ambayo Inatuhamasisha Watanzania Popote Tulipo Kutimiza Majukumu Yetu Ipasavyo kwa ajili ya ujenzi wa Taifa.
  13. dlamini

    Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Na Mtahangaika sana. Sisi Tunapiga Kazi Tu.
  14. dlamini

    DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Hivi katika kauli hii, ni kwa vipi utaepuka mkono wa sheria??? Kila mtu atawajibika kwa kauli na matendo yake. You have been warned.
  15. dlamini

    Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Huyu jamaa ni shida... kila post yupo na anaandika upuuzi tu
  16. dlamini

    Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Mimi Siko Lumumba, nipo Hong Kong. Wewe Jibu swali la msingi, wewe si jasiri na mjuaji. Ni nani dikteta??? Mtaje tu Mr.Jasiri
Back
Top Bottom