Search results

  1. M

    What to choose

    HABARI ZENU! wadau mimi ni graduate wa mwaka huu, shahada ya environment, nimepata ajira ya kufundisha na wananilipa laki 450, pamoja na usafiri wa sehemu ninayoishi hapa moshi, na pia nimeitwa vodacom ya customer care sasa sijui niende wapi mana hamna hata moja ya professional yangu.naomba...
  2. M

    Daily News ya tarehe 24.12.2011

    wadau habari zenu, nasikia daily news ya tarehe 24.12.2011 ina tangazo la kazi za serikali, tafadhali aliyeziona naomba ani update. na pia eti mtu usipokuwa na transcript huwezi pata kazi serikalini
  3. M

    msaada,loan officer inteview

    we ndo kilaza namba moja, bora yeye kauliza, n 'kuuliza sio ujinga' na inavyoelekea wewe ni fedhuli hujaenda shule elimu ikakukomboa angalau tu kimawazo Mdau wetu unapoona kitu umeshindwa bora uulize kwani si wote ambao wapo humu ni wapungufu wa akili kama huyo jamaa
  4. M

    hizi kazi za magazeti na internet huwa wanaita watu kwenye interview

    wapendwa nawashukuru kwa mawazo yenu, hizo za online wengi tunatumia zoom, kama kuna nyingine hebu turushieni ndugu zenu
  5. M

    msaada,loan officer inteview

    mpendwa wangu ingekuwa vizuri km ungemtafuta mfanya kazi yeyote wa ACB Mi ninachokumbuka tafuta 5Cs and wapinzani wake, n details zote za akiba then tuambie uliombaje na siye tujaribu
  6. M

    hizi kazi za magazeti na internet huwa wanaita watu kwenye interview

    wakubwa habari zenu! jamani hivi hizi kazi za kwenye magazeti huwa wanaita watu kwenye interview au hata kuwapatia watu kazi? mwenzenu mie ni graduate yani nimetuma barua za kazi zisizopungu 70, ila sijawahi itwa, hapa nilipo nimejikatia tamaa, au kama kuna sehemu nakosea naomba msaada wenu
  7. M

    ajira tatizo

    dont loose hope my dear, that is life keep on looking, if possible move door to door office asking 4 a job in if ua serious within month u gona get it bt believe every thing is possible if ua trying, n dont 4get 2 give God 1 priority so as he can make things easy
  8. M

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    my dear usiache kazi hiyo, komaa ufanye kazi kwani hakuna aliyeanzia juu, juu ni wachache sana
  9. M

    ....new jobs 7 dec ...

    mh mi siamini sana hizi kazi za magazeti mana uta apply hata 100 zitafika, cha kushangaza hata kuitwa huitwi, bora hata matangazo ya ajira za serikali uwezekano wa kuitwa upo, au nyie wadau mnaonaje mana mi ni graduate nimetuma barua sehemu mbali*2 karibu 50 sijaona mafanikio
  10. M

    kazi ya t-marc

    hello wadau kwa aliyeziona nafasi ya research assistant iliyotangazwa na gazeti la The guardian news paper la tarehe 5 pls naomba anitumie description zake
  11. M

    Job resign

    we acha kazi uone kama hautakuwa ombaomba, mwenzio naitamani angalau tu nipate hako kaujuz cjapata, we endelea kutafuta nyingine huku ukiendelea piga hiyo
  12. M

    Job resign

    we acha kazi uone kama hautakuwa ombaomba, mwenzio naitamani angalau tu nipate hako kaujuz cjapata, we endelea kutafuta nyingine huku ukiendelea piga hiyo
Back
Top Bottom