wakuu nadhani miongoni wetu wapo waliowahi kukutana na tatizo hili la lnk files!
kuna mtu jana kaniletea laptop yake ambayo icons zoze kwenye desktop zinadeploy notepad! yan namaanisha ukifundua default program inayotumika ni notepad!
lnk files ni kitugani?
net wanasema ni file extension...
Je.umeichoka google Tanzania? Je, unataka google international?
Ndugu mwanajamii, kama majibu ni ndiyo kwa hayo maswali hapo juu basi fuatana name katika hatua chache zifuatazo;
Hatua 1: kuandaa search engine mpya
Hapa unachotakiwa ni kusogeza cursor mpaka sehemu urls zinapokuwa displayed. Then...
aisee nadhani miaka 50 ijaayo! kama mtu ukivuta jiko(ukioa) nadhani honeymoon mweziniiiiiiiiiiii! kitchen party jupiter na maisha mnaenda kuanzia juani1 teh-teh-teh!:lol:
mkuu hilo file la user agent nimeliacha kwenye desktop! nimefuata kama ulivyoelekeza! cha kushangaza bado imezingua! au nilitakiwa kumerge kwenye registry? niliamua kuacha coz ulisema niache popote pale!!
mkuu una kibarua! nimejaribu kama mtaalam alivyoelekeza hapo juu! aisee nilipojaribu site flani yani jambo la kwanza kuambiwa ni register first ili u access! nimeshondwa kuelewa kama inaapply kwa browser zote au firefox peke yake! manake nimejaribu kwa google chrome bado ikazingua!!
UKIELEWA HII KITU USISITE KUTUSAIDIA NA SISI!!!
jamani wanajamii kuna post ambayo nadhani wote ambao bado hamjaisoma mtaipenda tatizo ni kwamba nimeshindwa kuielewa vizuri ndio maana nimeamua kuimwaga kwenye jukwaa hili la wataalamu ili nipate picha halisi ya jinsi ya kuzama kwenye site zilizo...
mkuu watu niliwaambia unatisha wakabisha! wanakuonea wivu tu ndo maana wanakuponda! aisee nishaanza kupakua taratiiiibu! si unajua hali ya uchumi mzee! hapo ni thanx mwanzo mwisho!
kama una software za kutengenezea rar kama winrar kwenye pc yako fanya hivi! right click kwenye hilo file then choose option ya ku extract files! normally ukikubali hatua znazofata kwa ku click next file la software utakuta kwenye desktop!
i agree 200%! inkera! imenikera weeeeeeeeeeeeee1 NAJUA HELA ZINAENDA WAPI! zinanenepesha matumbo ya wakubwa! aisee inaskitisha sikitisha mno! mungu ibariki tanganyika mungu ibariki afrika!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.