Search results

  1. B

    huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

    lowasa mimi ndiye rais wangu mtarajiwa tu.
  2. B

    MATATA Anusurika Kipigo

    huyu matatizo sana
  3. B

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    Wacha bangi
  4. B

    Kwa nini Kikwete hasafiri tena?

    Hivi account yake ambako mshahara wake unapitia iko katika bank gani?na mpaka sasa ina kiasi gani salio lake?
  5. B

    Re: Lowassa

    Ni lowasa tu ndio chaguo letu 2015.mwenye wivu nae basi akapige mbizi baharini.
  6. B

    Kwa waliosoma BACHELOR OF IT tu.

    wala usipate taabu bure hebu nenda ktk website ya IFM.The Institute of Finance management :: Home harafu hapo fungua prospectus yao hapo IFM then nenda kwenye hiyo course ya IT nafikri hapo swali lako lote litajibiwa mkuu.
  7. B

    Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

    Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze
  8. B

    Ufisadi Bila Majibu: Rais Kikwete na Lowassa sasa jiuzuluni ndani ya siku 90 kupisha uchunguzi huru

    Msitupotezee muda wetu bure kwa hii hoja.kwani hapo mbona jibu ni moja na liko wazi kabisa kuwa lowasa alikwsha jiuzulu siku nyingi tu uwaziri mkuu?ili kutonyesha njia na huyo boss wake jk ili naye ajiuzulu lakini cha kushangaza na ajabu ni kwamba hadi leo hii huyo boss wake yaani jk hataki na...
  9. B

    Mh Diallo, wafanyakazi wote Sahara Media Group ilikuwaje kura za ubunge Ilemela hazikutosha?

    Hata mimi nashangaa alibwagwa vipi na huyu dogo ambaye ni very junior kwake?
  10. B

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hata mimi ni chadema damu lakini huyu lowasa ndio chaguo langu tu hapo 2015.tunataka rais anayejimini na jasiri kama alivyo huyu lowasa.
Back
Top Bottom