Search results

  1. MIGUGO

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Vyeti vyako sekondari kasaini nani?
  2. MIGUGO

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Sisiemu walitamani waweke mibango yao ya umeupiga mwingi
  3. MIGUGO

    Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    Hawa wa kike ndio kabisa.Wanawekwa kutimiza Sera ya inclusion tu.Wanahanya hanya tu
  4. MIGUGO

    Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kwa raha zao.Yaani sasa hivi wanakuwa na plate namba za kiraia. Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
  5. MIGUGO

    Je, Mwalimu au Mtumishi yeyote wa Serikali anahitaji ruhusa ya Mwajiri kusafiri nje ya nchi akiwa likizo?

    Kwani hakujaza kwenye mfumo wa e-safari details zake asafiri bila shida?Au utaratibu unakuwaje? Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
  6. MIGUGO

    Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Sound zinazoshinda tuzo ni zile mpya,peculiar ila si zile za kuungaunga na janja janja.
  7. MIGUGO

    Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

    Tupo pazuri nchi inaenda vizuri. Hakuna shida. Viongozi wameletwa na Mungu.[emoji16][emoji16]
  8. MIGUGO

    Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

    Kweli kabisa.Kama ni tunajiandaa na michuano ya mataifa ya Africa 2027,tuandae vijana toka sasa Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
  9. MIGUGO

    Vatican parties

    Kumbe ni true story. Nimeona movie yake
  10. MIGUGO

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Big Pharma wanapiga hela kwenye antibiotics. Unakumbuka cha mseto?Kila ukipima malaria 3 5 10 ila sasa hakuna
  11. MIGUGO

    Serikali inafanyaje kuhusu Takataka za kielektroniki

    TCRA naona mmeanza kutoa elimu. Safi.
  12. MIGUGO

    Kumlinda kijana wa kiume dhidi ya adhabu ya miaka 30 baada ya kutia mimba

    Juzi nimeona mbunge wa kahama kaliongelea
  13. MIGUGO

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Wekeni katazo la abiria kukalia ndoo hususani kina mama.Wanawakwaza abiria wengine kwa kuchukua nafasi kubwa.
  14. MIGUGO

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Muwasiliane na TANROAD vituo vya kuanzia Kimara Stop over muweke shades za kukinga Jua na mvua kwa abiria.
  15. MIGUGO

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Wale walikuwa ni Alien wanakula panya live mzima mzima.
Back
Top Bottom