Search results

  1. wade adams

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Kwani watu ni wale wale, askari wa kipindi kilee ndiyo Hawa walipo sasa. Tunaomba askari watuonee huruma. Mtu anauwawa kwa sababu ya television kama yaliotokea Mwanza. Wimbi la uhalifu limetamalaki kila mahali Tanzania. Hivi kweli hivi mpaka Raisi alizungumzie waziri mkuu yupo, waziri yupo, IGP...
  2. wade adams

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Napiga customer care hawapokei pamoja kuwa link inaita
  3. wade adams

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tangu mabadilike kwenye wizara na natanesco umeme moshi unazimika kila baada ya nusu saa, sijui ndiyo teknologia mpya au ndiyo mbinu za kubana matumizi Ili kuchochea maendeleo. Hali hii inarudia kule tulikotoka yaani kwenye makoroboi, sola, magenereta n.k
  4. wade adams

    Usichokitegemea ni kama Maajabu.

    Wengi hudhani unavyokiona ndivyo kilivyo bila utafiti na takwimu za kutosha na kutolea maamuzi. Angalia sasa tunainamisha nyuso kabla hata jua halijachomoza. Watz tumezidi kukurupuka hata kabla kufunga kufungua na kisha kufungua midomo kushika kalamu au kuingia mitandaoni. Hebu tafakari hivi...
  5. wade adams

    Baadhi ya maeneo ya Changanyikeni karibu na UDSM Mlimani ni kama Ulaya

    Ulaya maana yake nini, sema kuzuri, wacha mawazo ya kutekwa akili.
  6. wade adams

    Baadhi ya maeneo ya Changanyikeni karibu na UDSM Mlimani ni kama Ulaya

    Hapo ndiyo penye utamu kama ngorongoro tuseme, kweli ni kuzuri. Huyu mtoa uzi ni dalali yumkiniki.
  7. wade adams

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Atakayekuja atakuwa mkali kuliko aliyetangulia. That is the principal. Nobody is ready to be referred as a looser. CCM take note that the late President Magufuli has left a template for you to use for running this Country if you go back to the business as usual era get ready to loose the grip...
  8. wade adams

    Madiwani wapya msikubali ujinga uwazoee katika mabaraza yenu

    Wewe naona huelewi Serikali za Mitaa vizuri. Wenye matumizi mabaya ni madiwani. Wanaowajibika kwenye matumizi na mapato ni watendaji, wanaojibu audit query ni watendaji. Watendaji ndiyo wahangaika na maendeleo ya wilaya siyo DC wala madiwani. DC anasimamia interest za Serikali iliyoko...
  9. wade adams

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Na wewe, kuna muandika minutes na mutasari. Katibu ni mtendaji mkuu wa chama. Ndiye ana kalenda ya vikao vya chama, yeye na secretariyeti yake ndiyo inandaa agenda . Fedha zote za chama ziko chinI ya milki yake. Kwa maana nyingine ni mtawala
  10. wade adams

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Mimi Hawa ndiyo mwarubani wa CHADEMA. Hawa ndiyo wataweka ndiyo wameweka overdrive hadi 2025.
  11. wade adams

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Mbona Safi, hizi ndiyo tunaziita "damage control" kwenye management.
  12. wade adams

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Hizi ni siasa HUKUNA aibu hakuna kununiana au uadui
  13. wade adams

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huku Moshi kuna tatizo gani, umeme unakatwa mara kwa mara kea muda mrefu na utaratibu unajirudia bila hata taarifa kama kuna uwezekano. Leo tangu saa kumi na mbili hakuna umeme hadi sasa saa 4.22
  14. wade adams

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwema, Umeme hamna huku Moshi giza tupu. Mimi nilidhani mgao wa umeme umeisha lakini naona hili jinamizi bado tunalo huku Moshi pamoja na juhudi zote hizo bado naona kautaratibu ambako siyo kazuri. Hii imekuwa ni mtindo kujirudia. Kama kuna lo lite lile si tuambizane. Mbona tulikuwa pazuri tu...
  15. wade adams

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Pole sana, tumpe tano tena. Tano inayokuja utaona mabadliko makubwa. Mambo mazuri yanahitaki uvumilivu.
  16. wade adams

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kuzuri! Tulimuhitaji huyu mtu siku nyingi, tumechelewa lakini potelea mbali Tunamuhitaji tena kwa tano nyingine.
  17. wade adams

    HP Laptop inauzwa Tshs 150000/=

    Ina tatizo gani Una stakabsdhi.
  18. wade adams

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Sitasahau siku moja kwenye disco jamaa mmoja na kichaa chake akaimbisha wimbo wake mpya ulikuwa unasomeka hivi; askari mambo yao vitendo vyao ..sawa sawa vaa yao ......sawa sawa Kula yao.... ...sawa sawa Jamba yao ......sawa sawa. Hapo ndiyo hali ya hewa ilibadilika badala ya disco ikawa...
  19. wade adams

    Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

    Kama hapo zenj mafuta chukua, umeme pata kwa bei ya kutupa, kazi zetu kwa mambo cio ya muungano, kogamboni wamefanya kipande kisiwa hicho. Zenj yao, tz yetu. Ati tumechanganya damu bc wawe mkoa au kanda. Kwa utaratibu huu nakubaliana na wewe mkuu tunaweza kuwachia. Membe yuko wapi jamani alikuwa...
  20. wade adams

    Waziri Angela Kairuki akabidhi vifaa vya michezo jimbo la Same

    Bora bwana kumbe ndugu yetu, wazo zuri la kujitambulisha ss keep up tuko pamoja. Sasa kwa kuwa umejitambulisha look over your shoulder.
Back
Top Bottom