Search results

  1. OLESAIDIMU

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Pole sana Mulama, andiko lako limaelezea mengi Mungu amlaze pema.
  2. OLESAIDIMU

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Mungu aiweke roho yake mahala pema. . . . Tutakumiss dada Dena Amsi
  3. OLESAIDIMU

    Are spies made or born?

    Nipo kaka
  4. OLESAIDIMU

    Are spies made or born?

    shukraan mkuu, tuendelee kuombeana
  5. OLESAIDIMU

    Are spies made or born?

    Once again. . . . . .
  6. OLESAIDIMU

    Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Waongeze unaowafahamu hapo kwa list ya mtoa hoja ili wafahamike kwa heshima ya utendaji wao mkk
  7. OLESAIDIMU

    Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Kamaanafanya objectively ka misingi na sheria za taaluma yake huo mtindo wa kusakama hauwezi kuwa na manufaa katika zama hizi. . . . .Na hata ikitokea akatoka sababu ya vijishutuma vyeoesi bado tu atakuwa hero katikati ya watu wanaoheshimu taaluma na uzalendo Wachache tutamuelewa come what...
  8. OLESAIDIMU

    Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Kusema Kusema ukweli kunataka uhakika sana wa unachokisema na hiyo personality ya kusema ukweli sababu kusema ukweli pia ni tabia ya mtu nje ya utaalamu alionao
  9. OLESAIDIMU

    Ushauri wa bure kwa wanafunzi wa UDOM waliorejeshwa nyumbani (ushauri wa kisheria)

    Hivi wahanga wana hii maturity na nguvu ya kutekeleza haya??!!!
  10. OLESAIDIMU

    Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Acha hofu. . . .. Mtoto wa umri huo anaweza sema mambo meengi tu vile ubongo wake unamuelekeza. . . Kaa naye kwa ukaribu na mapenzi muulize maswali naye atakuuliza yake utamuelewa tu
  11. OLESAIDIMU

    Dr. Kigwangallah unapotea, tafuta staili nyingine

    Trial and error. . . . . . . . . .
  12. OLESAIDIMU

    Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

    Ye ndio atapeleka umeme vijijini??!!! Zinatakiwa njia endelevu za kuenedeleza nchi sio hizo "ransom" kwa jina la kunyimwa misaada sijui kuwekewa vikwazo. . . . . . . Yaani maisha ya watu woote yasubiri kuapishwa mtu mmoja. . . . . . .
  13. OLESAIDIMU

    Ikiwa ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa, basi Hosea kaonewa

    Unafanyia kazi wapi huko ambako hamtathminiwi??!! Unaamini hiyo tathmini be it ok or not ni ya siku 45 tu??!!
  14. OLESAIDIMU

    Ni nani Valentino Mlowola?

    Unataka kumjua sababu kateuliwa jana au? ?!!! Unajua alikuwa wapi kabla??!!
  15. OLESAIDIMU

    Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

    Kwa hiyo unashauri nini??!!!
  16. OLESAIDIMU

    Muhongo awapa dedline Tanesco, maombi ya muda mrefu uunganishaji umeme

    Kwanza umeme uwe wa kuaminika ndio mengine yataeleweka. . . . .
  17. OLESAIDIMU

    Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    Ungewashauri kuacha kazi kwa hiari. . . . . .Ila hapa unakuwa kama unawasanifu tu
Back
Top Bottom