Search results

  1. B

    Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

    You are really idiot , umewatia hasara waliokusomesha, hio ada waliopoteza kwako bora wangenunua majani ya kunde wale.
  2. B

    Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

    Hio siku ikifika utakuwa ushakufa zamani sana, ni miaka 2000 ijayo, ila kama kweli upo serious unataka kuishuhudia basi anza ule ubaguzi wa kiafrika Kusini dhidi ya wapemba na waunguja , anza Harakati za kuwatimua.
  3. B

    Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    This is too Utopian, Hivi chato ipo Zimbabwe? I thought ungesema kwa ushahidi kuwa JPM alichukua hela za umma na kazificha kwenye akaunti zake nje ya nchi ama zipo hapo CRDB kumbe kajenga kwao? Hivi mbeya imeanza kujengwa lini? Inaonekana wewe ni WA Jana, Mbeya imeanza kutembelea barabara ya...
  4. B

    Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    Yaani acha kabisa, huyu Nyankurungu2020 anasikitisha Sana, amekata tamaa Sana Sana.
  5. B

    Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    Hakika wewe ndio una ukosefu wa elimu na inawezekana kabisa maisha yamekupiga Hadi unawaza kuwa CCM kipo hapo kinapiga deal, kinaiba, kinagawana, halafu wewe hupati kitu. Mtazamo wako kukihusu CCM ni mtizamo wa kimaskini Sana na usio kuwa na utumiaji sawa wa ubongo. Mimi nimekupa tu ushauri...
  6. B

    Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    Naona umepanic, Hii thread yako kama vile umeandika ukiwa umekaa chooni. Wewe endelea kupiga kelele humu JF badala ya kutafuta pori na bunduki yako uanzishe mapambano ili upige deal.
  7. B

    Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    H Hapo kwenye paragraphs ya pili na ya tatu, kwa hio na wewe unataka upige madeal? Unawaonea CCM wivu unataka CCM kitoke madarakani ili na wewe chama chako kipige madeal ili mshibe matumbo yenu? Naomba nikuulize, kwani hii bandari ya Bagamoyo inajengwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ama...
  8. B

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    BBaaDa Baada ya kusikia Rais wetu kaongea na simu ya Rais wa China nikajua Kuna suprise inakuja, sasa hii ndio suprise yenyewe.
  9. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Wanatia aibu Sana, wanaishi kisanii sanii , wanaishi propaganda
  10. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Eti hivi katika hizo picha umeweza kuuona mradi wowote zaidi ya sura ya DAS mrembo na DC wake?
  11. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Hivi kwenye hizo picha umeuona mradi wowote ambao umetembelewa na DC? Zaidi ya picha ya DAS wake mrembo ?
  12. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Msamehe tu huyo, kaokota shilingi njiani
  13. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Mbwembwe tu hizo zimewajaa, maana najua and nafahamu kuwa jamaa yako hajajitambulisha , amekurupuka tu ili apate kiki
  14. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Ndg yangu Kiranga tangu umehitimu Tambaza umekuwa tofauti Sana, yaani upo New York unamuelekeza Jamaa wa Kisarawe amasaidie DC kutawala? Mnampoteza Sana huyu Niki Simon
  15. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    I have guessed same thing , Kwamba huyu Countrywide ndiye DC mwenyewe, hovyo zake.
  16. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Weka picha na video za utambulisho hapa tuone? Tatizo lenu nyie watu Kila kitu mnakichukulia ki-hip hop tu, u-DC si usanii , kinahitaji maturity Ila nyinyi mnakichukulia usanii usanii tu. So unataka kusema DC Kesha maliza Kisarawe yoote? Kakutana na madiwani, kakutana wananchi wote, kakutana...
  17. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Yaani alichokifanya Niki ni sawa na mtu aliyekwenda beach kupiga picha . Alitakiwa afanye ziara ya kujitambulisha kwa halmashauri na atoe dira yake, then apange ratiba ya kutembelea vijiji akijitambulisha and huko ndio akague na miradi, sasa jamaa anakurupuka tu utadhania nyumbu wa CHADEMA...
  18. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Aachwe afanye kazi ya kupiga picha?
  19. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    So what? Sasa Kama alikuwa msanii mkubwa Sana why amekubali kuwa DC mdogo Sana. This is ridiculous Maeneo rasmi ya matangazo ya shughuli za viongozi wa ngazi ya DC ni kwenye mikutano ya Kijiji, kata, Baraza la madiwani na vikao vya kamati ya ulinzi na usalama vya wilaya husika. Kupitia Hayo...
  20. B

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Kwanza napenda ufahamu kuwa, uwazi haupo kwenye media ,uwazi upo kwenye vikao rasmi. Pili, kiongozi huwa hapimwi kwa kiasi gani ameonekana kwenye media isipokuwa amefanya nini, Kuna viongozi kibao wametumia media/ publicity wamepotea kwa sababu rating yao imeonesha media was just a show off na...
Back
Top Bottom