Search results

  1. t blj

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Muandae mtoto awe someone laaiki sop kwenye uwanja wa Siasa. Unless kama tunaongelea serikali za kidiktekta
  2. t blj

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Nadhan hana abcd za aviation, Turboprop kufika futi 25000 ni mtihani sembuse helicopter
  3. t blj

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ajali za helicopter sio kama za ndege, ndege inawez akupata hitilafu ya engine na bado ika maintain altitude na orientation. Helcpter ni kinyume maranyingi huwa inapoteza hadi uelekeo na kuanza kujizungusha!! making it almost imposible kutumia parachute.
  4. t blj

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Kenya hawana chaguzi zinazoingiliwa na wakuu wa majeshi, huo ujinga upo huku kwetu kwenye katiba mbovu
  5. t blj

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ndege ikishawaka moto survival chance inakuwaga almost zero
  6. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mbona mada inajieleza vizuri umeamua tu kuzingua. Unapotoa huduma ni jukumu lako kutoa elimu kwa madhara na faida yanayotokana na bidhaa zako, haijalishi unahudumia maskini au tajiri!! Boeing ana struggles na shares zake sasa hivi moja ya sababu ni ajali mbili za 737 max ambapo aliweka...
  7. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Ujamaa brought us here!! Na vile Mwalm alikumbatia kiswahili kuwa lugha ya taifa ndo kazidi tudumaza.
  8. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mkuu Financial education ni muhimu kutolewa na mabenki, kiinachofanyika ni ulagahai unafanywa kwa lengo la kuzifanya benki zipate faida. Tbl kwenye bia zake kaandika 'hairuhusiwi kuuzwa kwa wenye umri wa Maka 18' unadhani anapenda? TCC kwenye sigara' Uvutaji wa sigara husababisha saratani '...
  9. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Hakuna akaunti ianyofunguliwa bila nyaraka na wengi huonyeshwa tu sehemu ya kusaini na mwishowe hawajui vifungo walivyoingia! Kimsingi unapochapisha bandiko lolote ni vema kulifanya lieleweke kwa kutoa elimu. Ndo sababu tunanunua vitabu na watoto anaenda inavyo shuleni ili wakaelimishwe na...
  10. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Simbanking kupitia app yao hawakati ila ukipitia zile ussd codes wanakata
  11. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Nayaraka wakati unaomba kadi hazielezi Makato, tena siku hizi kadi unaomba kupitia app hujazi chochote Zaid ya pin
  12. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Online au kwenye app hawakati
  13. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Ulishawahi Ona gharama za miamala zimebandikwa kwenye Atms? Atms wanatumia vilaza?
  14. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Huwezi kuona kwenye Atm, Kuna gharama za miamala! Zile karatasi zinazotupwa kwenye dust bins benki wameshachaji!!! Laiti kama watu wangejua gharama za kutaka Ile receipt ambayo wanasoma tu balance na kuitupa kwenye bin , wasingeitaka Ile receipt , na benki zingekosa mapato,
  15. t blj

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mfano kuna account' X 'mteja anafungua na wao benki wanakwambia akaunti hii itakuwa inazalisha faida 'Y' baada ya Muda 'Z' Benki hawawezi kukwambia limitation za akaauti hiyo ambayo zinafanya ukose Ile faida utakayoipata, mathalani unatakiwa utoe pesa mara ngapi kwa mwezi ili usivuruge terms...
  16. t blj

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Ni internal combustion! Zitakuwa na mzuka wa sound just like petrol engines, halafu output ni maji kwenye tail pipe.
  17. t blj

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Nahisi used Ev zitakuwa na chamgamoto ya battery degregation, Siamini kama unaweza Pata used ev halafu battery ikawa Ina uwezo mzuri.
  18. t blj

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Toyota wamekuja na hydrogen combustion engine, Kwa maelezo yao wanaweza kupindua meza ya Ev!!
  19. t blj

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Uweke 15000 kila mwezi kwa miaka 30.mfululizo!!! , naomba kujua age na sayari unayoishi!! Naamini sio Dunia hii ninayoijua
  20. t blj

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Boda boda anawekesa kiasi gani Utt ili naye aishi kibos akistaafu.? Mada ni simple tu, unaicomplicate! Soko la pesa Sio kwa kila mtu in fact ni kama lipo kwa ajili ya matajiri tu. Haiingii akilini niweke 10 mil Utt halafu nisubiri faida ya 1 mil baada ya mwaka! Ila tajiri anaweza subiri gawio...
Back
Top Bottom