Search results

  1. N

    Prof. Kitila Mkumbo: Edward Lowassa, Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

    Mbona bado hajaanza kumchambua, ametoa introduction ya atakachoongelea kwenye makala ijayo na ameeleza kwa kifupi mapungufu ya Lowasa. In my opinion ameandika vizuri. Nashauri tusome makala yoye kabla ya kumhukumu profesa.
  2. N

    Pongezi kwa Mh. Nimrodi Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini!

    Musoma (V) Haijawahi kuwa na mbunge kilaza kama huyu. Alifikiri pesa zake pekee zingeweza kuwaletea mendeleo wana Musoma akasahau kuwa wana Musoma walimchagua ili awawakilishe na sio kutafuta umaarufu wake kama individual. Nakumbuka jinsi alivyowahadaa wananchi wakachimba mtaro ili kulaza...
  3. N

    Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

    Qn. 50. What year did Karume died?:faint:
  4. N

    CCM:Inahitaji huruma zaidi ya tuonavyo-KILA SIKU WAMECHELEWA NA HAWAELEWI

    Mkuu, CCM haipo! hata huyo unaedhani ni kenge hayupo kesha kufa siku nyingi, kilichobaki ni serekali tu. Hao unaowaona wanavaa kijani either wana madaraka serikalini, au wanayawinda, au wanajiweka karibu na watawala ili kuendeleza uvinjaji sheria kama vile kutengeneza ARV feki nk. Nakwambia...
Back
Top Bottom