Search results

  1. Utamu Extra

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Hongera mwaya kwa kukupata ujasiri huu wa kueleza kile unachokitaka, usiwajali hao wanaojibu km wanatumia kichwa cha chini kufikiria,mungu akujalie umpate mkweli umtakaye.
  2. Utamu Extra

    Natafuta Mchumba/Mume.

    Hivi kwani ni lazima kila thread uchangie,mwenyewe alishasema kama unaona haikuhusu pita tu, Na kweli hata siginecha yako inajieleza kweli hiki ulichoandika ndicho ulichopewa kichwani mwako.
  3. Utamu Extra

    I'm in love.

    Haswaaaaa!!!!!nakula raha zangu taraaaaaaaaaatibu.
  4. Utamu Extra

    MMU week hii dah!!

    Hawa wanaume bila kutuongelea sisi wataongelea nini,bila hadisi zinazotuhusu nani atachangia,na kule kwenye makwanda na mamgamba ban nje nje,acha watuongelee tu nyoyo zao zifurahi na wapunguze mawazo,nyingi hapo ni za kutunga hazina ukweli kabisa.
  5. Utamu Extra

    Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

    Anataka ndoa,kumegwa megwa hovyo sio mpango.
  6. Utamu Extra

    Kisa cha mwanamke wa ziwani

    Yani hadisi ndefu mpaka nimesoma siku mbili,haya hongera babu,fanya mpango na kanumba atutengenezee livideo lake.
  7. Utamu Extra

    Ongezeko la vifo vya wanaume........................

    Sasa km huu utafiti ni wa kweli huko mbele ya safari itakuwaje,hivi tunanyang'anyana wanaume hamtutoshi,mikizidi kufa sio itakuwa tabu tupu,mungu aepushie mbali au sie wanawake atupunguze kiaina ili namba ibalance na wanaume.
  8. Utamu Extra

    I'm in love.

    Hongera bwana,haya mambo ni nadra sana,mengi ni wizi mtupu.
  9. Utamu Extra

    whether you want or not, your answer will be three (3)

    Shule niliyosoma hatukufundishwa hesabu.
  10. Utamu Extra

    Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

    Hakuna cha kujificha wala nini,tena ile hatutumii glas km hao mabinti zenu wa huku mjin,nikiweka mdomon ni tarumbeta niniweka chupa chini namwambia mhudumu afungue nyingine ebo!
  11. Utamu Extra

    Zain Vs Airtel

    Jina la Zain lina mvuto sana kwangu kwan linataka kufanana na la my mupenzi,so hakuna wa kunishawishi nitamke vinginevyo!!
  12. Utamu Extra

    I just changed....

    Hapa bila bila.
  13. Utamu Extra

    Uongo jamani

    Asa km umetaka kudanganywa je,mie nitafanyaje,nakudanganya weeeeeeeeeeeeeee,alafu wala sijisumbui kumbuka hata tukikutana akija vibaya nakudanganya kwa mata nyingine,tena inakuwa tofauti na uwongo wa mwanzo,kwa taarifa yako kila anayedanganywa ameomba kudanganywa bila kujua au kwa kujua.
  14. Utamu Extra

    Jamani naumwa mwenzenu

    Pole sana mgonjwa,juzi siku ya ukimwi duniani ulikumbuka kwenda kupima?km bado fanya mpango ujitambue mapema.
  15. Utamu Extra

    Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

    Usiogope mwana kwetu huyu ana matatizo na starehe za wengine,km vp mpotezee tu,watu wanapiga mpaka msuba na hubby wake bado kakolea na maisha yanenda tu!!
  16. Utamu Extra

    Wanawake na Kunywa Pombe/Kuvuta sigara

    Ushawahi kupigwa ww???? Hujui kwetu pombe ni km maji ya kunywa tu!!! Pole sana km tunakukwaza,kwa wanaume wa kwetu burdaniiiiiiiiiiii!
  17. Utamu Extra

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Pole zake bwana harusi,haya mambo yakuuziana mbuzi kwenye gunia kwa kuogopa kutenda zambi wakati zambi zingine watu wanazitenda bila aibu,haya ndio matokeo yake,watu wanatakiwa waanzane mapema na kujuana vizuri ktk nyanja zote mpaka mkifikia kwenda mbele ya padiri mmesharizika wote,sasa hapo...
  18. Utamu Extra

    ameanza masters class....uchumba kushney

    Ndio ajue ili siku nyingine awe makini magonjwa makubwa kwa wanawake tulio wengi ni mawili tu,kupewa kazi ya ukweli na matunzo basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!vingine mbwembwe tu.
  19. Utamu Extra

    Eti Dada Akikataa Kwa MbofuMbofu, Atakubali tu

    Ninachoamini mimi,km mtu amekupenda hakuna longo longo mnakubaliana mambo mengine yanaendelea,na kwa mwanaume muelewa wala hatakuwa na mda wakufikiria habari za mambo ya maharage ya mbeya wala nini,Tatizo liko kwenye fikra mbovu za watu wanatafsiri vibaya,na nyie wanaume mnapenda mzungushwe kwa...
  20. Utamu Extra

    Eti Dada Akikataa Kwa MbofuMbofu, Atakubali tu

    Kwani mtu akikupa namba ya simu na akaitikiwa mwaliko wako ndio kakukubali? Nijaribu mimi uone balaa langu,nakutia hasara ya ukweli mpaka utajuta kunifahamu na hupati kitu vile vile,nyie mnaotuchukulia poa ndio nawatakeni sana nyie.
Back
Top Bottom