Search results

  1. J

    CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

    Chadema imuangaliaje ndugu yangu ,labda ungeweka wazi masharti ya zamana . mwenye uwezo wa kumsaidia amsaidie .charity begins with you ndugu yangu .Mwijuluuuu atamtoa tu ili apate mtaji wa kuzunguuka nae majukwaaani akidai katumiwa kisiasa then katelekezwa .
  2. J

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Swala sio amefanya kosa au hajafanya kosa swala ni JE wanapewa haki zao kama wadhaniwa maana jinsi polisi wanavyowafanya ni kama wameshatiwa hatiani na mahakama nawe pia usiwaaangalie kama chadema waangalie na wao kama binadamu wanao shukiwa je ikitokea hawana hatia ya ugaidi ? fikiri nje ya...
  3. J

    Shibuda: CHADEMA imepoteza mvuto kanda ya ziwa, mbioni kuweka mambo hadharani

    kweli wewe Le mutuz mwili wako na akili yako vitu viwili tofauti karibu kwetu pangani tukuchokolee madafu luck spm
  4. J

    Shibuda: CHADEMA imepoteza mvuto kanda ya ziwa, mbioni kuweka mambo hadharani

    kweli wewe Le mutuz mwili wako na akili yako vitu viwili tofauti karibu kwetu pangani tukuchokolee madafu luck spm
  5. J

    Prof. Safari akabidhiwa tena Kesi ya Ubunge Igunga

    well come back lamwai hope muda haujakutupa mkono na hutafuti pa kujiinua .
  6. J

    Husband Material Anatafutwa

    pole kwa majibu unayopata ndio jf ilivyo kuna mchanganyiko wa watu wenye fikra na mawazo tofauti humu .kama upo serious ni email johnsonmchaina@hotmail.com
  7. J

    Arusha Leo: Picha na matukio mbalimbali ya mkutano wa CCM

    Nepi naona tumbo linazidi tu teh teh teh soon litakuwa kama jioni komba mr toti .
  8. J

    Ratiba ya mikutano yatoka rasmi (21/11 mtwara, 22/11 rukwa, 23/11geita, 24/11 -arusha)

    Nasubiri kwa hamu habari za kiintelejensia na makamanda wao wa polisi kama zitakuwepo dhidi ya maandamano yao .
  9. J

    Kuna nini Arusha? Rais ziarani Arusha tena

    baada ya kumpa kinana ukatibu mkuu anaenda kupanga mipango usiyopangika dhidi cdm .kinana alikubalika sana wakati ule ila sio sasa nguvu kubwa wakati ule ilitoka kwa walaji na wauza gomba .bado ccm ina kazi kubwa Arusha dhidi ya cdm japo kwa kinana ni karata nzuri kwa ccm .
  10. J

    Uchaguzi wa taifa lenye nguvu duniani waanza rasmi leo

    Tuna safari ndefu kufika walipo .Na hizi siasa zetu zililizotawaliwa na rushwa badala ya sera !
  11. J

    Uchaguzi wa taifa lenye nguvu duniani waanza rasmi leo

    Tuna safari ndefu kufika walipo .Na hizi siasa zetu zililizotawaliwa na rushwa badala ya sera !
  12. J

    'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

    Picha linaendelea mwanzo ilikuwa mawasiliano ya simu kwa sasa radiocall na funguo ya gari je ? Mwanzo viliripotiwa kupotea ! Good job policcm mkiamua mnaweza . ziko wapi kamera za Daudi mwangosi ! Wako wapi wauzaji wa madawa ya kulevya ! Wako wapi wauaji wa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi !w...
  13. J

    Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

    Duuh kazi ipo ! Get well soon kamanda
  14. J

    Mary Mramba aficha shilingi 700,000,000 chumbani kwake!

    m .Mramba ! mbona hili jina la mwisho kama la yule aliye wahi kuwa waziri .wana uhusiano wowote na yule alie pandishwa kizimbani kwa matumizi mabovu ya ofisi ?
  15. J

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    kwa kifupi ni bepari ndio maana ana hela kiasi hicho .
  16. J

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Daaah so sad na yeye ameingia kwenye mtego wa majambazi kama alivyodai alipokuwa akihojiwa kuwa yule kamishina wa tra aliingia kwenye mtego wa mapolisi .r.i.p ballow innah ilah mar......
  17. J

    Mgombea Udiwani Daraja Mbili (CHADEMA) akimbizwa KCMC

    rama kalamba ni kada mzuri tu wa ccm baada ya kutolewa nccr wakati ule wa mrema na magamba kwa kuwatumia hao hao policcm .sasa naona kalewa sifa anadhani anaweza kufanya lolote kwa mtu yoyote bila ya kupelekwa popote namshauri aangalie upepo vijana wa sasa si wale wa zamini enzi za kumsukuma mrema .
Back
Top Bottom