Search results

  1. J

    JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

    Mkuu ilikuwa ni aibu, wananch tulipoona jwtz wanavamia ile kambi tunashangilia, mara kidogo wale wajeda wakala kichapo,kdogo wakaanza kutimua mbio kwny mashamba ya mahindi, wametuaibisha xn hawa wazee wa vifaru.. nkataman kwenda kuwasaidia bt kuona ffu wameizunguka kambi yao namie nkalala mbele...
  2. J

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr.Slaa ndo mpango mzima! unauliza dhahabu geita?
  3. J

    Mgombea Udiwani Kiboriloni ashukiwa kutokuwa raia wa Tanzania

    Awe raia asiwe raia ce ni chadema tu, hata takieka jiwe!
  4. J

    CCM kuandamana nchi mzima jumapili kuadhimisha miaka 37

    Nikiw safarin toka dom 2 mosh, nimefka arusha ile road ya ktoka mianzin kuja stand kuu, nimekta zomeazomea ya mandamano ya ccm mpk aibu, yan njia nzima wanazomewa,nkawa nawaza ni kosa gn mmewafanyia hawa wananchi? kwel arusha kboko,nlikuw nawasikia tu leo nmeona kduchu!
  5. J

    Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    kama haya ni kwel bas wanaccm wa songea ni zaid ya vilaza, yakowapi majb ya matatz ya wanasongea, taifa linakabiliw na deni furushi,ipo wap soln? et wazir wa fedha... mmendekeza siasa hata matatz ya wananch mmetuachia
  6. J

    Picha CHADEMA wilaya Mkalama; Ni kijiji kwa kijiji ya vuna mamia ya wanachama

    This tym ma ccm hamna pa kutokea, tunawatwanga kotekote kudadek...!!!
  7. J

    Lissu awaonya Viongozi wa Dini: Mna Mapepo na Majini Ibadani Mwenu!

    Hii ya kumkunja twiga shingo na urefu wake wote mpk kuingia kwny ndege ni hatari, cjui alipandaje zile ngaz..!
  8. J

    Nani tena anabisha kuwa Lema hana hadhi ya kitaifa?

    Dk kawambwa shukuru ni msomi wa phd lakn hafik hata robo ya iq ya lema!!
  9. J

    Hotuba ya Mh.Mbowe yazua Utata kwa Wakazi wa Geita tarehe 27/1/2014

    Ndo shida ya kuunga shift, toka ya ucku na kuamkia ya mchana, mkuu bado hujaamka,wenge la nyt lumumba linakusumbua.
  10. J

    Nimewamiss hawa wabunge...lini watarudi?

    Hawa chama chakavu cjui wanakuwaga wehu?
  11. J

    Saada Salum Mkuya v/s Ngozi Okonjo Iweala

    Jaman tz ni nchi ya maajabu, tuwe wavumilivu ndo lyf styl tuliyochagua!
  12. J

    Ushauri wa bure: CHADEMA fukuza Ben Saanane, Mabere Marando, Shibuda na Prof. Baregu

    Ckuw najua km mida 8 ni hazina namna hii kwa cdm! sasa ndo naanza kuiamin kaz ya mida 8 kwa masalia!
  13. J

    CCM ARUSHA Watwangana; Fatma Hussein hoi akituhumiwa kutoa siri za chama chake

    J4 mjusi ni jambaz maruf arusha,akiwa wa na mtot wake abdul wameua sn,wakenda court wanashnda coz wat hawatoi ushahd kuhofia maisha yao! huyo mjuc kuktoa roho wala hawaz x2, vyombo vya sheria vchukue mkondo hlo jambaz likamatwe! watu mnaongea ka mzaha bt huyu mjuc ni hatari na ndg zake wamemtenga!
  14. J

    Red Brigade na Green Guard Sombetini Arusha wapigana mbaya

    Kwa navojua siasa za arusha,polic wanatakiw kuwa makini sn,na wasiwe bias vngnevo machafuko yatatamalaki,yeyot akikanyaga katba sheria ichukue mkondo bila kujali ni magamba ama gwanda!
  15. J

    Lema amuokoa Dc Arusha

    tatz lako siasa imewatawala, ni siasa ipi lema kaileta? lema ndo anawanyanyasa bodaboda? lema ndo trafc? kila jema linalofanywa na wapnzan kwenu ni baya, unadhan bila lema kn dc angewatuliza? mumshukuru lema kwa kuwastiri kwa hlo!
  16. J

    RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

    Hawa kila cku mnaokuja na sera za suruhu mbona huw hamgusi makosa halis ya zzk? mnaongelea ju juu tu ooh cdm co mbowe,zzk wala slaa, ndo mana weng wanawaona ni wa lumumba wenye muono huo coz hamtak kuzama deep na kuanika usumbuf wa zzk tangu 2007 mpk leo. zzk na nyendo za mashaka ktambo xn hata...
  17. J

    RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

    ndo mana mtoa thread kasema sie ni ma mamburura...
  18. J

    My Political Analysis on Jambo Leo: Unaweza Kuudanganya Umma kwa Muda Mfupi tu, Sio Wakati Wote!

    Article yk le mutuz ipo very bias, haipo std balanced, ipo kimajungu na kimapasho zaidi bro! popote pale waasisi ni watu muhm hasa ktk ushaur ju ya nn chama kfanye ama kisifanye. umemtaja mtei ju ya kupendekeza majina ya bob makan na mbowe na pia umeendelea kumcfia hayat baba wa taifa j.K...
  19. J

    Picha: Vurugu zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa...

    Hizi ni hujuma za wazi za Magamba kwa kushuirikiana na Zitto mwenyewe kunyamazia ujinga huu ambao pia unazid kumchafua zzk, ukitizama kwa makini utagugundua mabango yote ya kaki ni mwandiko na mawazo ya mtu mmoja, herufi kutoka bango moja mpk lingine zinafanana, wanayo haki kufanya hivo lakini...
Back
Top Bottom