Search results

  1. A

    Hata kama humpendi lakini ukiamua kumsikiliza ili umwelewe, utamkubali!.

    ndo maana uimara wa Wapinzani kama Lisu huwa unanifanya nimchukie zito.Hebu fikiria una Tundu, mbowe, zito, mnyika, wenje, silinde,msigwa,lema, mdee,mkosamali,kafulila n.k in your squad and your are aiming at the same target at the same range, lazima adui anyanyue mikono.lakini if wishes could...
  2. A

    Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

    anyway kwa heshima yako kama mtoa hoja naomba nimege kidogo. Nilikuwa kwenye premises yenye facilite moja nyeti sana ambayo hauruhusiwi kutoka kienyeji na raia hawaruhusiwi kufika hapo achilia mbali kuingia. sasa ikawa mie mateka kwa dada mmoja ambaye naye moyo wake nilikuwa nimeushikilia...
  3. A

    Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

    Kwa heshima hiki cheo naomba nisisimlie kamkasa kangu maana ikijulikana naweza kuvuliwa vyeo vyote au watu wakawa wananipigia saluti huku wanatabasamu ambayo kwa sheria za kijeshi ni kosa
  4. A

    OBAMA anafuata TANZANIA nchi inayokiuka HAKI ZA BINADAMU?

    kwa kweli huyu omera nilikuwa namwamini sana lakini kwa kitendo cha kuja katika nchi hii isiyoheshimu haki, sheria na utu wa binadamu chini ya serikali ya kigaidi ya ccm.Tangu leo namuona huyu mruo kama bush. like bush like obama
  5. A

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    kwa kweli vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinasikitisha sana! kusema ukweli si tu kwamba tu vinaidharilisha chama tawala na serikali yake bali vinadhalilisha watanzania na taifa kwa ujumla.na kubwa yake vinahatarisha ulinzi na usalama ambao viliundwa na kuapa kuulinda
  6. A

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Heri YA Mwaka MPya! nilipokuwa kwenye mafunzo magumu ngazi fulani some years ago, nilifundishwa strategy bora kabisa kwenye kuimarisha usalama na daima dumu sitaisahau. "ATTACKING BY DEFFENDING".kwa kuwa mie ni mlinzi wa walinzi no more comment at least for now!
  7. A

    Jinsi CCM Itakavyomtumia Zitto Kushinda Urais 2015

    ni kweli zitto anafaa sana kuja kukisaidia chama lakini ana mapungufu yake ambayo leo sitaki kuyasema nitamwandikia wakati muafaka ukifika in private kwa sababu nampenda. kwa leo na in the name of recocords na mada iliyopo mbele yetu , naomba nithibitishe kwamba admimaral wenu amepata pia crue...
  8. A

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    yap kamananda,jina lake litatajwa miongoni mwa mashujaa katika siku hiyo ya kushukuru Mungu na kuwaenzi mashujaa( Thanks giving and heroes day).siku hiyo itakuwa public holiday na siku kubwa mno kwa wazalendo wa nchi hii.wajane,wagane,watoto na wajukuu wa mashujaawatoka mbele kupokea nishani za...
  9. A

    Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

    kama ni kweli,cdm kukutana na mkuu wa wauaji,huo ni usaliti!
  10. A

    Wazo langu: Hivi haiwezekani CHADEMA ikafanya mkutano wa hadhara kwa amani?

    nakubaliana na wewe asimia mia kwamba policcm na cdm wana makosa,lakini natofautiana na wewe kwa aina ya makosa kwa asimia zote! kwanza polisi wanatumia silaha walizo nazo kwa upole sana na wanawaogopa viongozi wakubwa wa cdm badala yake wanawalenga (shoot) wanananchi wa kawaida na ambao...
  11. A

    Nimrod Mkono kakisusia kijiji, JF okoeni kijiji hiki!

    inawezekana kabisa wapo wengi sana maana hat huyu prof.dr. mj. wa hapa kama unaenda tegeta si nilisikia naye ni wa huko? anyway ngoja nimpigie bridedia mts anipe ufafanuzi,vinginevyo kila la kheri
  12. A

    NIDA Imevunja Katiba ya Nchi

    ni kweli kaka usemayo! majuzi alikuja kwangu huyo kada wa ccm, mimi sikuwepo akamkuta dogo na kumuumba amwandikie orodha ya watu wanaoishi kwangu! dogo akumuuliza we ni nani,lete kitambulisho chako kwanza!baada ya kushindwa kutoa kitambulisho cha nida au nido sijui sido vyovyote vile zaidi ya...
  13. A

    Sakata la Dr. Ulimboka: Martha Mlata (mbunge) ni shahidi muhimu, ahojiwe!

    Wala hakuna haja ya uchunguzi,maana kupeleka kesi wizi wa mahindi mabichi kwa ngedere ukimshitaki nyani,utegemee tu nyani kukupiga faini kwa kosa la kiherehere cha kulima shamba karibu na miti na tena hujaweka mlinzi, faini yenyewe itakuwa kumuuacha ngedere ale mahindi kwa wiki mbilina, liwalo...
  14. A

    Baada ya Ulimboka, Je Mnyika atasalimika?

    Mkuu nilikuwa naamini kwa kupiga gwanda la kikamanda,unajua angalau kidogo mambo ya ulinzi na kuimarisha usalama. kwenye ulinzi kuna kitu kinaitwa defending by attacking and attacking by defending! jifunze hiyo utaelewa watu wanachosema.NB hii si ile ya kwenye football,usichanganye
Back
Top Bottom