Search results

  1. Riccristin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Thanks mkuu nilweka wa odds 20 umetoa
  2. Riccristin

    Kuweka android version 12 kwenye samsung S9; Inawezekanaje?

    Inawezekana lakini si official kutoka samsung..
  3. Riccristin

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Duh hawa jamaa walitaka kufanya vitu kwa wakati mmoja ndo shida..
  4. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    duh sijui kwann unatumia recovery ipi twrp au cwm
  5. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    badilisha jina la ilo fail andika "Install.Zip"
  6. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    haha ni software ipi ulikua unataka kuiweka ..n official au custom rom
  7. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    internal storage aiwez futika unless uifute mwenyewe ..unacho kifanya ni kuformat systeam sio internal storage
  8. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    inawezekana memory card sio shida
  9. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    Link; MEGA How To Install Resurrection Remix Marshmallow For Tecno J7 Download Resurrection Remix MM for Tecno J7 from the link below and move it to the root folder of your SD card. Now, switch-off your phone completely and boot to recovery mode by press holding at same time Volume Up +...
  10. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    Ok kwanza naomba kujua simu yako ni aina gani..
  11. Riccristin

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Agiza eBay
  12. Riccristin

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    Unamaanisha custom roms cuz uwezi pata official updates..
  13. Riccristin

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Leeco le pro3 Inauzwa Storage 32GB Ram 4GB Processor Qualcomm 821pro Quad core Screen 2.5d 1080p resolution Battery 4070 mAh Camera 16mp front @8mp rear 850k nataka nichek kwa namba yangu 0752636738
Back
Top Bottom