Search results

  1. Ngararimu

    Nafikiria kuhamia Mbeya, Nisaidieni info za mji ule

    Wachuna ngozi wapo huko mbeya pia.
  2. Ngararimu

    Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Mama ni mzanzibar mwadilifu kuliko yule aliyetumwa na karume kwenda kununua meli ya mv mapinduzi. Angeenda chenge au mtu wa kutoka kabila la chenge ningekuwa na sababu ya kutia shaka. Ogopa sana male mzalendo anayetumwa kwenda kununua rada ya kulinda nchi yake anapiga diri. Harafu na mapato ya...
  3. Ngararimu

    Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

    Acha umbeya wako makamu wa Rais huwa anafuata nini huko kisukuru?. Kwani kuna miradi ya maendeleo alikuja kuzindua huko. Labda alikuwa anapita tuu njia wewe unadanganya watu hapa
  4. Ngararimu

    Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Linganisha mwenyewe ukipata jibu njoo
  5. Ngararimu

    Kuchafua taswira ya Mkuu wa nchi huwezi baki salama!

    Rafiki yangu hakuna namna viongozi wanaotawala nchi katika mfumo wa vyama vingi wanaweza kuepuka haya, kukosolewa kwa lugha kali, kuchambwa kila wanapokwenda kinyume na katiba, kuzomewa kila wanapotamka kinyume na matarajio ya wanaowaongoza, kuburuzwa mahakamani, kuchunguliwa mpaka nyuma ya...
  6. Ngararimu

    Mko wapi tujuane

    Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia. 1.Umbwe 2.Lyamungo 3. Moshi Technical 4. Old moshi 5.weru weru girls 6.Ashira girls 7. Machame girls 8. Mawenzi 9. Kibohehe 10.kibosho girls 11. Maua semiari 12. Uru...
  7. Ngararimu

    Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Makosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi...
  8. Ngararimu

    Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Aalikuwa hakosi ibada ya asubuhi siku za kazi hata siku moja pale cathederal ya mbeya kama hajasafiri. Pia alikuwa mchangiaji mzuri kanisani zaidi ya MTEUZI wake.
  9. Ngararimu

    Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Nifuate in box kwa kweli nimekuelewa sana. Na nitazidi kukuelewa kama tutakubalina unipokee kama Mariooo na unithamini kuliko pesa shost.
  10. Ngararimu

    Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

    Ndio wameingiza hizo kilo 87kgs ambazo zimekamatwa kwenye land criser Dar leo.
  11. Ngararimu

    Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Nimeshangaa waziri wa nishati, katibu mkuu wake na wahusika wote wa kitengo Mafuta bandarini bado wanaendelea kutumikia nyadhifa zao baada ya mkuu wa mkoa wa Dsm kufichua ufisadi huu kupitia vyombo vya habari. Raisi Samia ameagiza kila anayekosoa serikali yake atoe na mapendekezo ya hatua za...
  12. Ngararimu

    Dunia ina mambo, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote

    Na wewe tafuta za kwakoule bata kidogo kabla Allah hajachukuwa pumzi yake broo acha kulia lia kama Demu aliyeumizwa.
  13. Ngararimu

    Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Hapa hata cost of collection itakuwa haipo tena. Huu ni muarobaini tosha wa kutatua tatizo la ukusanyaji wa kodi ya majengo. Asiyetaka kulipia kupitia kwenye luku atumie sola au jenerator. Pia kama hutaki kumlipia land lord wako kodi ya jengo amua kuishi kwenye mahema. Au kopa ujenge nyumba yako...
  14. Ngararimu

    Uonevu kwa raia na manyanyaso

    Ukiona mtu kavaa uniform ya jeshi la polisi Tanzania hata kama ni mwanao mkwepe kwa kadiri ya uwezo wako wote. Mimi ningekuwa daktari hakuna mgonjwa wangu ambaye ni polisi angeweza kuepuka kifo. Kila anayefika kwangu ningempa kidonge cha sumu nihakikishe nimempa na maji ameze akafie mbele kwa mbele.
  15. Ngararimu

    RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Hiyo wilaya ya chato iunganishwe na mkoa wa Bukoba ili uwanja wa ndege wa kimataifa wa chato uwe kwetu sisi wahaya wenye pesa, wasomi, wenye mapesa ya kutumia usafiri wa ndege tufwaidi. Vinginevyo hapo chato patakuwa magofu kama kule badolite nyumbani kwa marehemu tajiri dictator mobutu seseko...
  16. Ngararimu

    Rais Samia anatuletea Tanzania ya Asali na Maziwa

    cocastic anatafutwa mtu wa kwenda kule kuzimu kwa njia ya kifo ili mwendazake apate uhai afufuke aje amalizie miradi yake. kama upo tayari kwenda wewe njoo in box tuyapange.
  17. Ngararimu

    Rais Samia anatuletea Tanzania ya Asali na Maziwa

    cocastic anatafutwa mtu wa kwenda kule kuzimu kwa njia ya kifo ili mwendazake apate uhai afufuke aje amalizie miradi yake. kama upo tayari kwenda wewe njoo in box tuyapange.
Back
Top Bottom