Search results

  1. O

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    Mungu aniepushe! Umenikasirisha ewe mtoa mada hadi nikasikia nyongo inamwagika tumboni! Kenya ni Tanzania? Siwezi kukuuliza level yako ya elimu sababu hata angekuwa mtoto wa miaka mitatu asingeweza kuongea hizi pumba ulizoleta hapa. Hata kama ni freedom of expression basi hii yako ni pollution...
  2. O

    Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

    Ahsante sana dubu. Pamoja sana. It's time for change whether they like it or not! I wish ningekuwa Tz this time.
  3. O

    Nisaidieni wana JFwenzangu, ni tatizo hili

    Nenda kwenye maombi. Inawezekana hilo ni jini mahaba linakujia kwakutumia sura ya mpenzio. Hiyo inaweza kuja kuwa shida mtakapoishi wote kwani unaweza kujikuta ukipenda mapenzi ya ndotoni zaidi kuliko ya live. By the way uzinzi ni dhambi.
  4. O

    Looking for someone to share life with!

    Uzuri tangazo linawahusu watumia keyboard na wala siyo keyboard yenyewe! Kanisani huwa tunaenda kuabudu! Pole kama limekukera!
  5. O

    Looking for someone to share life with!

    Fidel bwana! Hatuwez kuchakachua coz hatua moja ya uchakachuz yaweza kuanzisha nyingine!
  6. O

    Looking for someone to share life with!

    Hahaha! Ajira kwani ina nini? Mimi sijataja ajira ila nimesema at least awe focused in life. Unaweza kuwa na ajira kubwa still isikusaidie sbb yakutokuwa determined. Ww kwani uko wapi?
  7. O

    Looking for someone to share life with!

    Kujihakiki ni wazo zuri!
  8. O

    Looking for someone to share life with!

    Hahaha! Why gafla? Basi chukua hatua!
  9. O

    Looking for someone to share life with!

    I hope so Naima!
  10. O

    Looking for someone to share life with!

    Utapata nini? Maliza kwanza shule utapata wa age yako baada ya hapo!
  11. O

    Looking for someone to share life with!

    Thanks dear!
  12. O

    Looking for someone to share life with!

    Mimi ni mdada wa miaka 29. Natafuta rafiki na kama mambo yakienda vema we can share the rest of our life together. Sifa zangu Dini - mkristo Mrefu wa wastan around 168cm Maji ya kunde Umbo la wastani siyo mnene wala mwembamba Elimu – Ya chuo kikuu Sifa za nimtakaye Awe mkristo...
Back
Top Bottom