Search results

  1. budot

    Msaada kununua bitcoins

    Nenda localbitcoins,unaweza kununua hata kwa tigopesa,mpesa nk
  2. budot

    Samsung J7 Neo model SM-J701F/DS

    Nzuri sana mi ndo nnayoitumia...ipo fast haina tatizo lolote inakaa na charge sana. Nakushauri uinunue
  3. budot

    Nataka kuanzisha Kiwanda kidogo cha Maji ya kunywa

    Watu kama nyie mnarudisha maendeleo nyuma sana.Kama huwezi kumshauri ungekaa kimya ni busara zaidi
  4. budot

    Mashine ya kisasa ya kukamua alizeti

    Mkuu nimejaribu kukupigia leo sijakupata hewani.mbona kwenye website machine mmeandika milioni 6 halaf hapa milioni 8? Tafadhali nitumie hizo picha whatsapp 255719033180. Nahitaji hiyo mashine sana.
  5. budot

    Mashine ya kisasa ya kukamua alizeti

    Mkuu nimetoka Sido Arusha leo,bei zinaanzia 7m kwa mashine ya kukamulia Alizeti, machine ya kuchuja inaanzia 2.5m na kama utapenda waweke na heater ili mafuta yawe refined utaongeza 5m ,yaani heater peke yake ni 5m. Kila la heri.
  6. budot

    Nina mahindi naomba kujua soko

    Hayo ya mwaka jana naomba unipe bei mkuu na mahali gani yalipo Dodoma
  7. budot

    Nauza mtama, alizeti na vitunguu

    Gunia la alizeti kilo 120 kweli?
  8. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Nashukuru mkuu wacha nifuatilie mbulu
  9. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Nashukuru mkuu,nimetoka naberera wao wanauza 110000 kwa gunia ila ni machache,mbauda pia mi nauza pale
  10. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Nashukuru mkuu ntafika huko kufuatilia bei
  11. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Mkuu huko juu sana bado hayajafika huko kabisa
  12. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Unauza mkuu? Mnauzaje kwa gunia? Naomba unitumie picha whatsapp
  13. budot

    Nahitaji Maharage ya njano

    Nahitaji maharage ya njano gololi(Soya njano) kwa wingi,nipo Arusha Mwenye nayo naomba anipe bei yake kwa gunia. Nitahitaji na picha. Whatsapp no.0719033180
  14. budot

    Kuhamia Dodoma na fursa za kibiashara

    Mkuu naomba namba yako ya whatsapp au niwatsapp kwa hii namba 0719033180
  15. budot

    Kid's tablets for sale

    KID'S TABLETS FOR SALE You don't fancy handing your phone to your kids,then why not buy a tablet designed just for them! Keep your kids entertained with the most child friendly tablets,giving them access to hundreds of apps designed to make EDUCATION both fun and entertaining Iconix c-703 price...
  16. budot

    Kiwanja kisongo Arusha 3300sqm

    Nauza kiwanja kipo kisongo Arusha! Km 6 kutoka Arusha airport na 500m kutoka barabara kuu ya Ars-Dodoma -ukubwa 110mx 30m -Bei 25milion Hakina dalali No. 0762436011
  17. budot

    Action coin (Coin mpya kuzinduliwa mwezi march)

    A newCanadian cryptocurrency that will be launched on March 1, 2018. Register now and get free 1000 tokens. Each token could be worth a few cents up to about $1 when launched in March which means could have some tens or hundreds of dollars in your account by March 2018.Why this? Initial Coin...
  18. budot

    Action coin (Coin mpya kuzinduliwa mwezi march)

    Mkuu ilianza kutangazwa mda lakini tarehe ya kuwekwa sokoni kwa mara ya kwanza ni 1st March 2018
Back
Top Bottom