Search results

  1. Raia Mvumilivu

    Msaada nahitaji wakitaabu.

    Ndio nilienda hosptl,nikapewa dawa kama pencil ambayo ilifanikiwa kuviunguza BUT vikachipua vngine kwa kasi na wingi na vinakua daily, Stil nahitaji ushauri wa tiba.
  2. Raia Mvumilivu

    On bed kuna wanaume wa aina nne

    Natamani wife achangie huku nijue hali yangu maana .... hatak hata kuwe na house grl nyumbani.
  3. Raia Mvumilivu

    Msaada nahitaji wakitaabu.

    Mimi ni mwanaume,nina warts kwenye maeneo ya pubic hairs na zinaongezeka na kukua baada ya kutumia dawa kama pencil hivi ya kuviunguza, Je dawa yake ni nini kuviondoa kabisa maana sivipendi?.
  4. Raia Mvumilivu

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Kwa hali hii kweli walimwengu walimu.
  5. Raia Mvumilivu

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nakubali ni urembo bt cmnajua pamambo yakizidi sana inakua kero. Jamaa anaweza kua na mantiki kumkataza wife wake kutokana na mazingira,imezoeleka kuona madada wanaojiuza ndio moja ya dresng code so mume hataki wife wake wampotrait hvyo labda ndio sababu.Ni vyema wake mkawackiliza na kuenda...
  6. Raia Mvumilivu

    Wazazi wamepokea Mahari bila ridhaa yangu, nifanyeje?

    Huyo rafiki anafurahisha,kwani anaumri gan kiasi anashindwa kujitetea kwa wazazi na kuweka mambo sawa kabla hayaja chacha,Nafasi bado anayo aongee na huyo X wake ajue hali halisi **** hayuko tayari kuolewa naye na kama akilazimisha akataka kuoa ajue huyo bwana sio muelewa na atakua hamueshimu...
  7. Raia Mvumilivu

    Shortlisted.

    Raia wema, Tafadhali tusaidiane kupeana nws za watu waliokuwa shortlisted maana wengine tunategemea zaidi mtandao huu kuliko magazeti kutokana na mazingira tuliyopo, upatikananji wa gazeti ni nadra mno na kama likipatikana basi gazeti hilo ni la udaku. just kupeana alart maana unakuta mtu...
  8. Raia Mvumilivu

    Habari

    Pamoja san...Nashukuru
  9. Raia Mvumilivu

    Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

    Efficiency ndio msingi wa maendeleo...komaa kakamaa success ita gonga hodi kwako if you work hard.
  10. Raia Mvumilivu

    Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

    Huyo HR sooo...mpaka skills za kumanage financial resources anazo..basi angefaa awe financial mangr coz dah....ni mbunifu wa kufind sources za funds...mimi nampa pongezi zangu za dhati kabisa. GOOOD JOB, Keep it up S. K. Kihiyo Human resource manager wa KIBACHA COMPUTER TRAINING. The husle...
  11. Raia Mvumilivu

    Habari

    Ndugu zangu,ndugu zangu wenye fikra pevu....naungana nanyi mimi Raia mvumilivu mwana wa Tanzania natokea huku kijiji cha mwananchi wa kawaida. Tuko pamoja.
  12. Raia Mvumilivu

    Makampuni ya mafuta kwa job seekers wote

    Kiswahili ni lugha tamu sana lakini watu wachache mwaiharibu....."Gali" ndio nii?@ asigwa.:lol:
Back
Top Bottom