Search results

  1. Game Theory I

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    Inabidi nisome upya makala ya yule jamaa.
  2. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    Tunaongelea nje ya jimbo lake pekee? Kwa hujui jamaa ana SMS program kati yake na WanaBumbuli? Aki= integrate anaweza kuweka mchezo mzima katika platform moja. Amka mbimbio. Swali langu ni je, walio juu yake au hata vyombo vya habari kama IPP mbona wasitume hayo maombi na wakafanyiwa hivyo...
  3. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    Chanzo cha kuaminika cha taarifa. Au ulidhani kuna posho?
  4. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    Na ufanye utafiti ziko accounts ngapi verified katika Afrika kwenye Twitter halafu uongee tena.
  5. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    Umeona swali nimeulizaje? Kwa nini hizo taasisi kubwa zilizomjenga ulizozitaja hazijafikia hatua hiyo aliyofikia yeye?
  6. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    1st you have to be a public figure. 2nd There has to be a fear of impersonation na conditions nyingine.
  7. Game Theory I

    Vituko vya Bongo: January Makamba Apata "verified Twitter accounts" kabla ya CCM, Ikulu na JK

    Nimeibamba hii kwenye account ya Makamba Fesibuku. Imekaaje wadau? Hizi badge huwa wanapewa viongozi na taasisi kubwa katika mtandao wa Twitter. Naona jamaa kapata kabla hata ya CCM (ambao wako Twitter). A man popular and important than the party? Kama kuna wasomi CCM hebu nifafanulieni hili...
  8. Game Theory I

    Naombeni wasifu wa January Makamba

    Unajichanganya wewe.
  9. Game Theory I

    Naombeni wasifu wa January Makamba

    Mkuu acha kuweweseka. Huyu jamaa hajawahi kuishi hiyo mitaa unayosema. Amesoma Galanos na amefanya kazi makambi ya Wakimbizi wa Ngara na Kigoma, Carter Foundation. Kasoma George Mason University, ni diplomat wa daraja la II (Tafuta kabrasha wizara ya mambo ya nje kama uko interested). Amewahi...
  10. Game Theory I

    Hatimaye Ikulu yaikubali mitandao ya kijamii (social networks)

    Heshima mbele, Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs, facebook na twitter jamaa wameonyesha kitu. Maswali yangu ni haya kwa bwana salva, premi kibanga na...
  11. Game Theory I

    Aliyoyafanya January Makamba Bumbuli

    Nikipenda hiki kijiwe. January anaonekana ni nyota inayong'aa. Mgogoro wa wakulima wa chai, suala la Bumbuli kuwa Halmashauri na kuanzishwa kwa shirika la kuharakisha maendeleo ya jimbo lake. Yote in such a short span. Acha aendelee kutuumiza kichwa wabeba box.
  12. Game Theory I

    Aliyoyafanya January Makamba Bumbuli

    January Makamba ndo nani?
  13. Game Theory I

    Exclusive: JK Ndani ya Bilila kwa mapumziko (Huku mafuriko na vifo vikiendelea)

    Msafara wa JK ulionekana juzi Arusha. Bilila ni eneo lake la mapumziko.
  14. Game Theory I

    Tetesi:Kulikoni Miraji Jakaya Kikwete?

    Asante kwa kumfafanulia.
  15. Game Theory I

    Tetesi:Kulikoni Miraji Jakaya Kikwete?

    Ujumbe umefika ndo maana umechangiwa.Punguza JAZBA.
  16. Game Theory I

    Tetesi:Kulikoni Miraji Jakaya Kikwete?

    Heshima mbele, Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala, https://www.facebook.com/mkikwete (Wassira ni mshirika wa JK na ****** anamuamini,jana alikuwepo...
Back
Top Bottom