Udini siyo mfumo wa asili ya mtanzania,ni mbegu ya watu wachache wenye ubinafsi ,ambao hata vtabu vya dini haviruhusu,unamuabudu Mungu yupi ukamchukia mwenzako anayeabudu kama wewe?mafundisho ya upotoshaji yenye adili ya kisiasa tena siasa kipofo,ndiyo inatufikisha hapa tulipo,na si uelewa juu...
Hey guysntunaruhusiwa kitafsiri majina kwa namna yeyote,lakini tujue utamaduni wa lugha zetu unaturuhusu,ndiyo maana. Tunakubali majina kwa historia zake,tukitafsiri ndivyo sivyo tutayaona yaajab,matusi,ayafai,na ni majina halali na yanafaa kwa mazingira na historia inayojieleza,kitalli zaidi...
Jamani,uongozi ni sehemu tu ya majukumu,siyo kwamba viongozi wanaakili sana kushinda watu wote,Dr huthibitisha tatizo la mtu,je polisi wanapima afya ya watu siku hizi?Mwakembe anaumwa nini,waseme,polisi hawawasemei wataalamu wa afya,tunaweza amini ni kwelilisemwalo.
Iwe mvua inanyeesaha au hainyeeshi kunanuka,mifereji ya mavi katika soko tegemezi na makazi ya watu je wanaishi watu?na mabwana afya wapo? reporti za kila mwezi zinaaandikwaga?zinaandikwa nini kwa hali kama hiyo?tujiulize kama watu wenye akili timamu,Wataalamu wapo uchafu haufuatiliwi au...
Je iwapo watu wanakutana na uizi ambao siyo rahisi kuushtaki,ni mikakati ganiambayo vyombo husika vinaweza kupanga kuchukua dhidi ya makampuni husika?Unaibiwa 10,000 katika systeem,na unapiga simu hawapokei,unaenda ofisini kwao wanasema hawapokeagi simu za wateja,na wakati simu inaita Inakula...
Tuana sherekea miaka 50,nakujivunia,pia tunamacho yakuona sehemu muhimu za kazi za kijamii na makazi ya watu,
KARIAKOO KARIAKOO,Afya kwa watu mbona haiangaliwi?ukipita kariakoo "MAVI MAVI" KONA ZOTE KUNANUKAAAAA!,inamaana mabwana afya hawafanyi kazi?hakuna Report zinazoandikwa zinazoonyesha hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.