Search results

  1. M

    Wale wenye ulemavu jifunzeni kujikubali

    Jamii ingeanza kutambua namna nzuri ya kuzungumza na hawa watu, jamii ingekuwa na upendo wenye kuondoa dhihaka, unyanyapaa, vicheko na kadhia zingine, jamii ingekuwa na uelewa kuwa hujafa hujaumbika... WENGI WANGEKUWA NA UJASIRI MKUBWA SANA. Shida kuuuuubwa inaanzia kwenye jamii ngazi ya...
  2. M

    Mvua yasababisha maafa Dar

    daaah umenivunja mbavu mkuu
  3. M

    Naomba Msaada jinsi ya kutumia WorPress kudesign websites

    Hahahahahaaaa Mkuu nenda jukwaa oa teknolojia utapata msaada haraka zaidi
  4. M

    Naomba kujua Kiingereza cha kubishana na kuchokoza

    We jamaa umenichekesha kupitiliza daaaah
  5. M

    Sasa wezi wa mabwana kukiona

    Najua sana vipo but the way watu wanavyosoma hii ni kama hiki kitu kilichoandikwa hapa kipo walati hii laurapettie si kweli hiki kilichoandikwa kiliandikwa kwa minajili ya kuchekesha tu
  6. M

    Sasa wezi wa mabwana kukiona

    Jamani huyu Laura Pettie namjua vizuri sana. Facebook anatumia hilo hilo jina na ana blog yake ina hilo jina. She just wrote this for funny mara nyingi tu anaandikaga vichekesho. Sidhani kama kuna watu wamemchukulia serious kivile. Hakuna kundi kama hilo dada huyu alichangamsha baraza ndio...
  7. M

    Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

    Hahahahahaaa we jamaa dah!
  8. M

    Uzembe Ferry: Abiria wasubiria huduma ya kivuko kwa zaidi ya masaa mawili

    Yaani hii inshu ya kivuko inanipa majuto ya kuhamia kwenye kakibanda kangu huku. Ni tabu tupu kwa kweli. Hakuna anayejali hakuna anayewajibika. Siamini mamilioni wanayokusanya kila siku yanashindwa kununua vivuko vikubwa viwili. Ama kufanya ukarabati thabiti kwa vivuko vilivyopo. Nchi hii kila...
  9. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Mkuu asante sana kwa maelezo yako. Nashukuru sana ndugu yangu naanza kuhisi ni kweli anaweza kuwa na tatizo hili ana linaloelekea na hili. Amejitahidi kusoma mpaka chuo kikuu tena ufahulu licha ya kuw ana ulemavu huu ambao naona kama watu wanauchanganya na uziwi. lakini pamoja na kutafuta kazi...
  10. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    MKUU SAMAHANI SANA kwa kuchelewa kujibu, niwie radhi kwa hilo lilikuwa nje ya uwezo wangu ndugu yangu. Kusema kweli binti hana historia ya kuugua ugua chochote cha ajabu wala ugonjwa wa aina yoyote. isipokuwa alipokuwa na miaka 14 akiwa kidato cha pili alianza tu kuhisi kuwa hasikii vema yaani...
  11. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Hapana ndugu yangu, huyu ilianza ghafla tv na hatuelewi ni kitu gani.
  12. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    asante sana mkuu, tutajaribu tena muhimbili
  13. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Mkuu asante sana kwa ushauri, ila hatujakanyaga kabisa kwa waganga wa kienyeji. Ingawa familia imegawanyika kila mtu anaamini vyake. wengine ugonjwa wa kawaida wengine wanaamini amechezewa lakini mgonjwa mwenyewe hajapelekwa kwa mganga ila tumejaribu tiba za mitishamba yaani dawa za asili kama...
  14. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Baada ya maumivu ya kuwaka moto kutoweka anaweza kutembea ingawa si umbali mrefu ila sasa anaweza kutembea angalau.
  15. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Habari zenu wana jamvi, kwanza mnisamehe kwa ujumbe mrefu, imebidi niandike hivi ilie nipate kueleweka. nahitaji msaada wenu ndugu zangu. Nina mdogo wangu wa kike wa miaka 26, tangu April mwaka huu anaumwa ugonjwa ambao mpaka sasa hatujauelewa. Miguu inapata hali ya ganzi na kuhisi kama...
  16. M

    jamani kaimba nani huu wimbo

    Emmanuel Nkulila
  17. M

    Camera za kisasa njoo tuzungume biashara!

    nimeku pm mkuu, karibu tuzungumze biashara
  18. M

    Camera za kisasa njoo tuzungume biashara!

    ndugu yangu kwa jinsi camera ilivyo bei ilikuwa laki tano ila nashuka mpaka 485,000 ambayo mkuu inakuwa bei ya mwisho kaka
  19. M

    Camera za kisasa njoo tuzungume biashara!

    stock ya video Camera imekwisha kwa sasa, hii camera ni used ila iko katika hali njema kabisa sawa na mpya. na pia inachukua video sababu moja ya specs zake ni HD movie recording at up to 1440×1080 at 30 fps....ni nzuri sana mkuu na bei nimekushushia sawa na bure
Back
Top Bottom