Search results

  1. MPANDA Jr

    Mwenyekiti Wa CHADEMA Kata ya Nyarugusu Avamiwa

    This thing must go down jamani.... Mwanzo wa ngoma ni lele
  2. MPANDA Jr

    Shamba zuri sana linauzwa Mikumi Mkoa wa Morogoro

    Ni kweli kabisa... Nitamshauri anko azingatie location ya shamba..... Nitaleta jibu maana hiyo bei duh!
  3. MPANDA Jr

    Shamba zuri sana linauzwa Mikumi Mkoa wa Morogoro

    Barabara haita athiri shamba ila itachochea fursa za kiuchumi
  4. MPANDA Jr

    Shamba zuri sana linauzwa Mikumi Mkoa wa Morogoro

    Wakuu karibuni mulione shamba
  5. MPANDA Jr

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Ndo maana Magu kapanic ghafla... Maswali yote hajajibu hata moja
  6. MPANDA Jr

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Spencer Lameck kapiga swali gumu duh naona prezda kapanick
  7. MPANDA Jr

    Shamba zuri sana linauzwa Mikumi Mkoa wa Morogoro

    Picha hizo hapo kwa ufupi
  8. MPANDA Jr

    Shamba zuri sana linauzwa Mikumi Mkoa wa Morogoro

    Shamba lipo umbali wa KM 15 kutoka barabara ya Dsm - Iringa na pia lipo barabarani katika barabara ya Mikumi - Kilosa katika kijiji cha Chikoga Ukubwa wa Shamba ni Ekari 45 Shamba lina rutuba ya kutosha, lina visima vya maji na mazao ya kudumu kama vile Minazi, Migomba na Miembe...
  9. MPANDA Jr

    Elections 2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Shikamoo Kaka Mtatiro.... Naamini katika zile Nafasi 10 za Mhe. Rais, ya kwako ipo. Natamani nikuone umekamata Wizara fulani ili maccm yaone tulivyo tofauti... Shikamoo tena..
  10. MPANDA Jr

    Kelele zote za nini wakati wenye CHADEMA wameamua!

    Mtalia sana mwaka huu.... Ngoja niwakumbushe kitu: Ukisoma kitabu cha Matendo ya Mitume katika Biblia, utakutana na mtu aliyeitwa Sauli ambaye baadaye aliitwa Paulo.... Huyu hapo mwanzo aliwatesa na kuwaua waliomfuata Yesu Kristo, akiwa kwenye harakati zake za kutaka kuwaangamiza wakristo...
  11. MPANDA Jr

    CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    Kwani kwako wewe unaposikia KUB unaona picha gani?? Ukinijibu nitakupeleka tuition ili uelewe maana ya neno KUB + gari ya KUB
  12. MPANDA Jr

    Wananchi Wilayani Gairo waandamana na Kuchoma Moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata

    Una bahati nilichelewa kuiona post yako hii.... Hivi una macho kweli wewe. Njoo Gairo nitakulipia nauli au gharama zako zote
  13. MPANDA Jr

    Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    Nauona mwisho mmbaya zaidi kwa kisiasa wa huyu bro....
  14. MPANDA Jr

    Mkakati wa CHADEMA kuingia ikulu, watanzania tujiandae kisaikolojia

    Ngoja niagize supu ya ngisi, maana nimepata raha mpaka njaa imeuma.... Long Live Dr. W. P. Slaa... Heko Mwenyekiti wangu madhubuti Hon. Freeman Mbowe,
  15. MPANDA Jr

    CHADEMA Anahitajika Daniel wa Leo

    Naamini sijachelewa... Shikamoo mwandishi, hakika umegusa kilindi cha fikra zangu, umeamsha shauku kubwa sana moyoni mwangu ya kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya... Mungu wa Mbingu na Nchi na vitu vyote, akubariki
  16. MPANDA Jr

    Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

    Ila Pasco uliona mbali.... Three years kabla ngoma haijapasuka ulishaiona inakoelekea, tens kwa hatua zilezile ulizopredict....
  17. MPANDA Jr

    Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

    Kamsemo kako kamenichekesha.... Glory to God
  18. MPANDA Jr

    Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

    Mungu tunakushukuru kwa kumlinda na kumuepusha kamanda Sugu na madhara zaidi...
Back
Top Bottom