Search results

  1. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    thanks kwa ushauri wako
  2. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    hayo unayosema kua sie tunafanya, nimekua nikisikia kama wewe pia unavyosikia. amka, acha fikra potofu ni hatari kwa umoja wa kitaifa
  3. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    e tatizo sio dini, tatizo ni true love
  4. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    foolish age... wow!
  5. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    huyo alikua msabato feki, pole dada
  6. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    binafsi naangalia penzi la kweli na sio dini, mungu alipoumba adam na hawa , hakuweka udini baina yao ... ila waliunganishwa na penzi na uelewa kua MUngu yupo na anapaswa kuheshimiwa.
  7. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    wasabato na wayahudi ni mbingu na ardhi. kwanza wayahudi hawaamini kama yesu alikuja duniani. halafu pia sisi wakubwa zetu ni wakatoliki, kwa kua tulitoka katika ukatoliki... tukaitwa waasi na kuwindwa ulaya nzima, wengine kadhaa wakiuliwa kikatili na wengi wakikimbilia amerika ambayo ilikua na...
  8. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    yawezekana kweli, ,kama miaka 28 ndio nimepevuka, kazi ipo
  9. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    wafarisayo mpaka sasa wapo, ndio hao wanaitwa Rabbi, wako Israel... ndio hao wazayuni , sio sisi. kama hujui uliza. wakati wa enzi za yesu, hakukua na kitu kinaitwa wasabato. wote walifata imani moja, walieenda hekaluni siku ya ibada na wakaabudu. kama unakumbukumbu nzuri , hata mariam alikwepa...
  10. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    hatuna ubaguzi wowotw. ukimkuta msabato anabagua , ujue ni feki na asiemjua Mungu. misingi ya maisha ya kisabato rahisi na yenye mvuto wa kipekee. binafsi naipenda na siwezi kuiacha
  11. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    sio ishu ya complicating, ishu ni kufanya kile kinachotakiwa kufanywa... tatzo unataka vitu laini tu
  12. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    shida uliyonayo ni kuamini kua siku ya saba ndiyo sabato ya bwana. shetani amekua akijitahidi sana kuifunika ila ukweli haufichiki. Yesu alifufuka lini? ok....ilikua siku ya kwanza ya juma. hesabu kuanzia hapo utajua ya saba ni ipi... 60 Bible Facts on theSeventh-day of the Week1. After...
  13. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    miaka 300 iliyopita , kulikua na changamoto ulaya. wafuasi wa dini wanamapinduzi almaarufu waprotestanti walijitenga na imani kubwa iliyokua inatawala dunia miaka ile ya ukatoliki. miongoni mwa dini mpya zilizozaliwa kipindi hicho ni waadventista wasabato, ambao walilamua kuishi kwa kufata...
  14. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    kaka, hatuna matatizo yoyote yale. usabato ni dini nzuri sana. tatizo ni kua wengi tunapenda mambo rahisi na njia za mkato. Mungu anahitaji kuheshimiwa na kuogopwa. ukiisoma biblia utaelewa nachokuambia. huitajikua msabato, just soma na ishi katika misingi ya biblia utaona raha yake. ijue kweli...
  15. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    waadventista wasabato tunaongozwa na misingi ya biblia. yes, kitimoto ni marufuku -- ni agizo la Mungu, upande wa soda za coca cola, binafsi mbona ndicho kinywaji changu kikuu?! hapo watu hua wanachanganya kati ya kanuni za afya na kanuni za biblia. kanuni za afya ni maamuzi yako binafsi...
  16. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    ni kweli, lakini ni wakurya. jamani, musoma hakuna kabila moja pekee. mimi ni mjita , na hayo mambo hakuna kwetu. pia binafsi nimezaliwa na kukulia Kahama na mpaka leo wazazi wangu wanaishi Kahama. najua kisukuma zaidi ya kijita, na hua najiona msukuma pure. mambo ya ukabila kwa kweli ni kitu...
  17. M

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    salaam wanajamvi, Leo nimeamua kuandika kuelezea umma namna udini na ukabila ulivyojengeka nchini, hususani katika mapenzi. Mimi ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu nina miaka 28. Mara ya kwanza kujihusisha na mahusiano ilikua mwaka 2006, wakati huo nikiwa form 6. Nakumbuka ilikua Dodoma...
  18. M

    natafuta mchumba

    habari jf, mimi ni kijana wa mwenye miaka 26, natafuta mchumba wa kike ambae nitakuja kuishi nae baadae kama mume na mke Ni mwanafunzi uhandisi wa mawasiliano(finalist), mkristo. Ni mrefu wa wastani, pia mwili wa wastani, rangi maji ya kunde. mchumba awe: : 1. Mwenye umri usiozidi miaka...
  19. M

    Lazaro Nyalandu huyoo.. marekani!

    kwa hiyo nyarandu ni chizi, roger that !
  20. M

    Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

    ha ha ha haa! Najua mtarudi kesho, karibu wote. Tuweke dau, nchi hii watu waoga kudai haki zao. Wafanyakazi nao si ilikua hvi hvi, david kibamba na katiba je?
Back
Top Bottom