Search results

  1. mpemba mbishi

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Technology na utayari wa watu katika kutaka mabadiliki vinwaaibisha sana CCM. Huku Zanzibar kuna Muwakilishi alikua anazungumza siri sehemu fulani akidhani kwamba wote waliopo kwenye kikao hicho ni CCM waadilifu. Matikeo yake akaumbuka, siri yote ilirikodiwa na ikasambazwa
  2. mpemba mbishi

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Lakini tayari umeme wameshaukata mapema ingawa inafika kama mwaka sasa Zanzibar umeme haujakatika. Lakini Swahiba FM wamejipanga sana kimawasiliano
  3. mpemba mbishi

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Kuanzia saa 4 asubuhi Mkutano utarushwa live kupitia Radio Swahiba 102.9 FM au kwa online Swahiba Fm | Sauti ya Wananchi
  4. mpemba mbishi

    Zembwela wa East Africa Radio, kama wewe ni CCM pole

    Kutazama TV nyengine inakubidi umeze panadol mwanzo
  5. mpemba mbishi

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=871362642913371&id=100001189291607&refid=7&_ft_=qid.6181017978490900992%3Amf_story_key.-8811676310969647600%3AeligibleForSeeFirstBumping.
  6. mpemba mbishi

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    shaka hamdu shaka alikua mfanyakazi wa ndani wa Shadia karume, hilo ni bwabwa 100%
  7. mpemba mbishi

    Arusha na CCM

    AKIRI means to support, Tumia neno AKILI
  8. mpemba mbishi

    Msaada: Jinsi ya ku hack simu ya mkononi

    Nipe namba yako nikuelekeze, kuna application safi sana, ukiwa nayo hiyo na kama una mpenzi wako anatumia smartphone simu yake unaifanyia kitu cha kujijengea heshima sana. Msg calling na references zote zinaenda sehemu kujstore na wewe unazifata kwa email tu unazipata zote. Ni mzuri hata kama...
  9. mpemba mbishi

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Mimi hata ashushwe mtu leo kutoka mbinguni kuwania Urais kwa tiketi ya CCM simuamini kabisa. Hawa watu hakuna anayefaa tena kuongoza raia wa nchi hii
  10. mpemba mbishi

    Kamanda Tundu Lissu yuko Live, Bungeni

    Tupeni namba za radio wanayorusha
  11. mpemba mbishi

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Dini inasemaje kuhusu hili?! Kweli mtu akiwa CCM anakuwa na akili za kuku, kwa hili hata dini umeiweka pembeni! Au ID yako umemuuzia mtu anatumia?
  12. mpemba mbishi

    Kweli Watanzania wameichoka CCM

    https://zanzibardaima.wordpress.com/2015/05/14/boflo-ya-ccm-zanzibar-inapojaa-sisimizi/
  13. mpemba mbishi

    Hamad Rashid Mbunge wa CUF, aaga Bunge na kutangaza kugombea urais kupitia chama cha ADC

    Siasa za Tanganyika ooooops samahani Tanzania Bara sio sawa na siasa za Zanzibar, Wazanzibari ni Walimu wakubwa sana kisiasa. Hamad Rashid hakubaliki Zanzibar na wala hajuilikani kabisa, mimi ningemshauri tu bora angeingia CCM ili akafia huko kisiasa pengine akifa atapata heshima ya kuzikwa...
  14. mpemba mbishi

    Maalim Seif: ZEC inatumika kuandikisha watu waliokodiwa katika daftari la kudumu la mpiga kura

    Mkuu mimi watu wa mfano uliotoa ninao kwa mamia ambao nilikuwa nasoma nao CHUO , ambao wazee wao ni CCM na Masheha (Viongozi wa Serikali za mitaa), waliniambia walianza kupiga kura wakiwa hata hawajifahamu kutokana umri waliokuwa nao, wengine wananihadithia walikuwa wana miaka 12 tu na walikuwa...
  15. mpemba mbishi

    Maalim Seif: ZEC inatumika kuandikisha watu waliokodiwa katika daftari la kudumu la mpiga kura

    Kama sio za kweli na tuone wale wote waliotuhumiwa waje wakanushe na baadae wapeleke kesi mahakamani uone watakavyoning'inizwa kwenye kitanzi tena kwa ushahidi wa wazi kabisa Ikiwa sisi Raia wa kawaida tunavyo baadhi ya vizibiti vya picha kama za vitambulisho vyenye majina feki na mambo...
  16. mpemba mbishi

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Tatizo moja ambalo wanashindwa kulifahamu Watanzania kwanini kila siku ajali: Kwanza tunatakiwa tufahamu kama hizi ajali zinazotokea kila siku ya Mungu sio za kawaida tu bali hii ni LAANA ambayo inatoka kwa Mungu, na LAANA hii inatokana na sababu nyingi lakini mimi nitatoa mbili ambazo ni...
  17. mpemba mbishi

    Jussa awavua nguo Sitta na CCM ndani ya DMV-USA

    1) Kama viongozi wa Tanzania walipokwenda Oman hawakwenda kuwatembelea Wazanzibari walioko Oman bali walikwenda kwa mualiko wa Serikali ya Oman, wewe unajua Jussa alipoenda Marekani ameenda kwa mualiko wa nani na kwa malengo gani? Jiulize ni kwanini amefika mpaka kuingia kwenye Balozi za huko...
  18. mpemba mbishi

    Jussa awavua nguo Sitta na CCM ndani ya DMV-USA

    Muoman amjibu Samwel Sitta. Huyu ni samuel sitta and he talks shit and nonesense. Muomani aliekuja Oman hana shida ya kuwa mbunge wa zanzibar na hana shida ya kushiriki ya kuchagua rais wazanzibar. Muomani aliepo Oman anafanya kazi ya kulijenga taifa la oman. Uwaziri muomani anaupata hapahapa...
  19. mpemba mbishi

    Jussa awavua nguo Sitta na CCM ndani ya DMV-USA

    Mkuu Saifu Dume nina picha safi sana ambazo Mh. Jussa amepiga na #TeamUKAWA wa huko hem nitafte kwa Whatsapp nikutumie ili uziambatanishe na hii habari itapendeza sana, mimi nimeshindwa kuziweka hapa nilipo muda huu sijatulia vizuri. my email: mikatabafeki@gmail.com nifate huko nikupe namba...
  20. mpemba mbishi

    Hii ndio barua ya kutongoza ya kipindi hicho.......ni full malavidavi

    Mmmhhh aise mtoto alishawahi kufumwa nayo hii ilikua ni shidah sana kwangu, nilimpa dogo wa kiume ampelekee dada yake, dogo kaiweka kwenye mto Ilipofika usiku mama yake anatandika kitanda cha mwanawe ghafla barua akaifuma, kwenye mto, akampa baba mtoto na huyo baba mtoto alikua ni my class...
Back
Top Bottom