Search results

  1. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Kweli kabisa
  2. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Hapo kwenye bluu tu ndio nimepapenda. Si kwa ubaya lakini
  3. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Hivo eehhh safi sana
  4. Desidii

    Mwanza vs Nakuru

    Huwezi fananisha Mwanza na Nakuru hata kidogo...... ningekuelewa ungesema Mwanza vs Kisumu hapo sawa muwe mnatembea sio kukariri........
  5. Desidii

    Mwanza vs Nakuru

    Kuna picha hapa imenikumbusha mbali sana na kunifanya niwe mnyonge "Bad Memory" kwa hiyo hotel those days....ie 1992
  6. Desidii

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Mtamuelewa tuuuuu Uncle Magu hapa kazi za mazoea kwishney poleni mtakaokumbwa......
  7. Desidii

    Makapuku Forum

    Makapuku Oyeeeee!!!!!!
  8. Desidii

    Mahari ni Jukumu la nani?

    Inabidi nikae chonjo kwa kweli naona hali si nzuri asante
  9. Desidii

    Happy Birthday KOKUTONA

    Hbd KOKUTONA
  10. Desidii

    Mahari ni Jukumu la nani?

    Kwanza habari zenu nimewamisi sana kitambo sijatia timu hapa. Hii imenitokea mimi mwenyewe na kunikosesha raha kabisa. Wiki kama mbili hivi tulipata barua ya uchumba ya mtoto wa dada yangu tunaishi nae kwa wazazi wangu baada ya dada kufariki. Wazazi waakaijibu vizuri haikuchukua muda...
  11. Desidii

    mods wakianika PM zetu......

    Sijawahi kuandikia PM.
  12. Desidii

    Dena Amsi na Mr Rocky

    Kuachwa ni mbaya sana
  13. Desidii

    mods wakianika PM zetu......

    Afadhali mimi sijawahi kuandika PM
  14. Desidii

    MSAADA: Binti Mrembo anatembea na Kaka Mwathirika lakini hajui!

    Mtoa Mada kwa ushauri wangu mdogo tu ongea na kaka yako huyo msichana achana naye
  15. Desidii

    Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

    Ndugu umetisha aisee hongera sana
  16. Desidii

    New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    Hapo tu ndo huwa nawapenda sana Wakatoliki yaani nilikwenda kutafuta cheti changu cha kubatizwa wakati nikitaka kufunga ndoa nikakuta kumbukumbu ipo sawia kabisa yaani hata kama umebatiwa 1900 utapata kumbukumbu zako zote utaratibu wao mzuri sana naupenda kweli.
  17. Desidii

    Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

    Kweli hii itakula kwake kabisa sio mchezo
  18. Desidii

    Hivi kweli Raila na CORD ni watetezi wa demokrasia au wanatetea matumbo yao?

    Ruta huyo God unayemsema wewe simuelewi elewi vile lol
  19. Desidii

    Hivi kweli Raila na CORD ni watetezi wa demokrasia au wanatetea matumbo yao?

    Kwa vile ulivyoongea naona uko upande wa Uhuru. Mambo mengine huwezi andika humu usijetafutiwa ushahidi bure........ Nachokwambia nina hakina nacho sababu nimeshuhudia kwa macho yangu si ya kuambiwa na mkwanja nikapewa bila kujua ni wa nini wewe bana wewe siasa za Kenya tuziache tu
  20. Desidii

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Tena hizo pesa zenyewe bado zinaendelea kutumika bado shahidi wa kesi yake kajitoa kamwaga mambo hadharani...........
Back
Top Bottom