Search results

  1. Tugutuke

    TV4Sale SONY BRAVIA TV (used) 40" inauzwa

    Hapa inabidi tujue bei ya sony bravia inch 40 brand new ni sh ngapi tutoe gharama za kuitengeneza hii ndo mteja aamue anunue mpya ama anunue hii arekebisho screen. Kwa mafundi wa spea za flat screen hii inawafaa sana pia. Ama mtu upate tv ambayo kioo ni kizima ila mbovu then uwekewe hapo.Inch 40...
  2. Tugutuke

    Kweli Kubet ni kazi ngumu

    Follow this link to join my WhatsApp group: MIKEKA💰LOUNGE
  3. Tugutuke

    Phone4Sale Samsung A21s for Sale

    Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents. Brand; SAMSUNG A21s Internal; 64GB RAM; 4GB Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu. Location; Dsm. Price/Bei; 350,000/- Mawasiliano; Njoo PM kama tutaelewana hapa. Karibu tuongee BIASHARA.
  4. Tugutuke

    Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

    Hii Link najiunga inagoma...link imekuwa Revoked tayari.
  5. Tugutuke

    Kwa mahitaji ya viwanja, vyumba, nyumba za kupanga na maofisi, magodowns, mashamba, nicheki nikutafutie popote Tanzania

    Natafuta Frem kubwa ya kupanga kwa ajili ya Biashara,ukubwa iwe kuanzia 30×30ft iwe eneo lililochangamka ama linaloanza kuchangamka... Ikipatikana maeneo ya -Kibamba (Kibamba Ccm/Kwa Mangi) -Mlonganzila -Njia Panda Shule (Kibamba) -Gogoni na -Kiluvya Itapendeza! Frem iwe ina Umeme na...
  6. Tugutuke

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Mkuu nahitaji Fremu! Ukubwa wa 30×30ft. Inaweza kwenda kwa sh ngapi kodi kwa mwezi? Maeneo iwe Kibamba kusogea location za Kiluvya
  7. Tugutuke

    Natafuta Fremu kubwa (30×30ft)

    25/25
  8. Tugutuke

    Biashara: Suzuki Carry, Bajaji, Taxi au Bodaboda?

    USHAURI:... milioni 8 ni ndogo kama huna business plan nzuri na ni nyingi ukifanya Vise versa... Kwa kuwa unataka kuwekeza kwenye vyombo vya moto, nunua Bajaj... Usinunue hivi Bajaj zenyewe zenye jina hilo hilo Bajaj, nunua inayoitwa TVS KING. Ina nguvu na Injini yake inavumilia angalau kuliko...
  9. Tugutuke

    Mrejesho: Matusi na kejeli ya mume wangu

    Kama hiki ulichoandika ndio ukweli mtupu (nafsi ikishuhudie) mama naomba nikupe pole kwa herufi kubwa "POLE". Pole saana Madame, Kama mtu haongei vizuri na Baba yake mzazi kwa sababu ya utetezi juu yako na naamini baba yake ni mtu timamu basi "aliyekuwa mumeo" ana matatizo saana. Kwa kuwa...
  10. Tugutuke

    Mrejesho: Matusi na kejeli ya mume wangu

    Haiwezekani yeye ana matatizo tuuuuu... Tupe na kuhusu wewe kidogo madame, maana hatuwezi kukupa full hongera na pole bila kusikiliza upande wa pili. Anaweza kuja mumeo hapa naye akaanza kushuka essay basi ikawa tafrani. Twambie ni kweli alipendelewa na Mahakama au Mahakama ilitenda haki, maana...
  11. Tugutuke

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Mpaka sijapata kuridhika kama hawa wanaojiita Watumishi wa Mungu nivl kweli wanamwabudu Mungu huyu huyu aliyempa Musa amri 10 au wanamwabudu "mungu".... Maana wakati mwingine mtu unashindwa kuelewa huu utajiri wao mbona unakuwa na ukakasi?
  12. Tugutuke

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Ningepata mdudu kidogo hapo ingenoga lunch yangu bosi
  13. Tugutuke

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Naweza kukubaliana na wewe kiasi fulani... Na mimi nimefanya utafiti mdogo makanisa haya.. La Kakobe La Mwingira La Nabii Flora liko Salasala Kuna na jingine liko Kibamba ukishatoka darajani kama unaemda ubungo. Na nimekutana na waumini ana kwa ana na nikawa naongea nao privately baadhi...
  14. Tugutuke

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Mimi nimefika katika Kanisa hilo "Nabii" Josephat Mwingira. Kama mleta uzi alivyosema japo sina uhakika na vipimo vya eneo, na idadi kamili ya waumini, ila asilimia kubwa ya alichoeleza ni kweli. Ni ndanindani kabisa ukitoka lami, eneo ni kubwa mno lina kila kitu.. Nilienda nikipelekwa na...
  15. Tugutuke

    Anatafutwa na jeshi la polisi popote alipo toa taarifa kituo chochote cha polisi

    Yaani Jumla 1.3milioni... Halafu zawadi nono! Acha utani, wewe mpaka umefika hapo hujawahi kuiba/kutapeli?...
  16. Tugutuke

    Haraka: Mzani wa mawe unauzwa

    Hebu kuwa serious we jamaa.... Nimeshakataa elfu 40,000/- halafu unasema hiyo.
  17. Tugutuke

    Haraka: Mzani wa mawe unauzwa

    Mawe yapo
  18. Tugutuke

    Haraka: Mzani wa mawe unauzwa

    Aya... Ngoja niichukue namba
  19. Tugutuke

    Haraka: Mzani wa mawe unauzwa

    Bado upo mzee, hawajafika bei
Back
Top Bottom