Search results

  1. K

    Msaada wa jina zuri la kiume la kiislam ili nimpe baby boy wangu

    Shauriana na mkeo mtapata jina la kumpa mtoto wenu mpendwa
  2. K

    Ukonga Kumekucha: Waendesha bodaboda wamtimua Waitara

    Waitara atashinda tena kwa kishindo
  3. K

    Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Mwacheni afanye kazi .ningekuwa na uwezo ningemlipia ili walimu waone. Matunda ya RC wetu.tumuombee
  4. K

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    Kama huna wenzio wanazo
  5. K

    Nimemtongoza vizuri mdada wa watu kanikubalia,ila kaniambia ananipa No 2,..

    Yaani no 1 yupo wewe wa pili huelewi kitu gani
  6. K

    Mji wa MECCA ndio mji pekee wenye maji ya maajabu duniani...

    Innshaallah mungu akupe Nia ILO njema utimize moja ya nguzo muhimu kwa dini ya kiislam
  7. K

    Ununio kuna nini?

    Uongo mtupu
  8. K

    TANZIA: Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole inaillah wa inailah rajuun
  9. K

    Msaada nimekamatika ndoa yangu ipo mashakani mrembo anataka kumpindua mke wangu

    We ni mpumbavu.mbona wAkati unaanzisha mahusiano yenu hukuomba Ushauri kwetu.amua kusuka au kunyoa.hapo make atakuacha tu huna namna
  10. K

    Zitto Kabwe: Mijadala imekuwa gharama za mazishi, jamii yetu inasahaulishwa ukatili uliofanywa na Polisi

    80 m jamani tuache mchezo hata Kama ni msaada hapa wamejiongezea .Hivi serikali ikisema hizo pesa sisi hatuna wanafamilia wapo tayati kuzichanga kweli au ni kwakuwa serikali imesema iko tayari kugharamia msiba ndo wanaikomoa.ningekuwa ndo Mimi ningenyoosha mikono..
  11. K

    DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

    Atakuwa kalazimishwa huyo aache masiharaa wanawake tunawajua bwana ni ngumu kukubahi wenza
Back
Top Bottom