Search results

  1. F

    Wanafunzi wa udsm wana-raha!!

    Mmmh! Ama kweli jina la mtoa mada linajieleza maana wao bado wako sekondari hata haki zao za msingi wanaogopa kudai kisa fimbo na suspension. VIVA UDSM
  2. F

    JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

    Nina mashaka na Uraia wako wewe uliyepost hii thread... Lakini pia nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri koz unatumia hisia zaid kuliko mantiki. Nani kakwambia matatizo yanakimbiwa?
  3. F

    Bima ya afya kwa nini wanafanya hivi?

    Hawa jamaa hawako siriasi kabisa koz tuko mwengi wenye tatizo hilo lakin hawataki kutushughulikia huku pesa yao wakikata kama kawa.
  4. F

    Bima ya afya kwa nini wanafanya hivi?

    Jamani Bima ya Afya wananikera sana yaani toka nimeomba kupewa kadi sasa ni mwezi wa saba hawajanitengenezea wakati kwenye mshahara hela yao wananikata. Mbona huu ni wizi wa mchana kweupe au maombi ya huku mikoani hajashughulikiwi?
  5. F

    Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!!

    Vinega daima kwa Maendeleo endelevu ya Musik industry hapa Tz sio Wafu fm wanawatumia Wasanii kama big G. Sugu moto chiini endelea kuscan hao Virus
  6. F

    Wadau naomba msaada

    Nina modem ya Vodafone, Model yake ni K3571-Z Je ni namna gani naweza ichakachua?
  7. F

    Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    Hakika watu kama akina Afande sele nina mashaka na uwezo wao wa kufikiri lakin daima Mapinduzi huletwa na wachache. VINEGA ndo dawa ya Wafu Fm mpaka kitaeleweka tu.
Back
Top Bottom