Katu usimkufuru mungu wako aliyekuumba na kukujaalia huo ujinga wako ukadhani wilbroad slaa ndiye jibu la ulivyokirimiwa.walaaniwa wamo ndani ya jamii zetu basi na tuwavumilie. Kuunda kambi ya upinzani bungeni haikuwa na haina mshirika ila leo kwenye kutafuta mipango ya hila kwa wananchi...
Kufikiri ujuacho na utakacho ndicho sote tukitake ni uzembe wako wa maisha.kumtukana binadamu mwenzio kwa nafasi yoyote aliyonayo kwa jamii ikawa ndicho ujuacho na ukitakacho ni laana.huko ni kujitukanisha mwenyewe. Hakika yote mnayomtuhumu kiongozi mkuu wa nchi na au hata yeyote vile tu una...
Kama ni ndoa ilishafungwa iwe mume ni zanzibar au tanganyika sasa mkataba unaingilia wapi kama si tamaa ya mali iliyopatikana baada ya ndoa au kama si dhuluma inayowaka kwa waja wake?
Ni kweli walivyosema wahenga kuwa hata mapepo na mashetani wana maswahiba wao hapahapa duniani.wanawabudu na kuwatukuza maana sera zao ni matamanio ya wanadamu.
Warioba alituletea maisha ya kufikirika na matumaini ya hewani wakati raisi ametuletea uhalisia.ila nchi hii ya wa kukopi na kupest tuna shida ya utambuzi na hatuko tayari kupokea uhalisia sisi ni ma alinacha wa kujenga ghorofa hewani vile tuna dhahabu, almasi, gas, maji na tunapumua, everything...
Ugomvi wa kugombania sahani ili upange foleni ukachukue chakula mara zote huwa mkubwa na mpana kuliko ugomvi wa kupakua chakula chenyewe. Maana hata ukifikia kupakua ukakuta kimeisha hutamlaumu aliyetangulia wala ajaye nyuma yako maadam umekuta kimekwisha.waache wakazane na kugombania sahani...
Shida hapa wengi wenu mnafikiri dunia iliumbwa ulipozaliwa wewe.na historia ni ile unayoijua wewe.maisha ni yale uliyonayo wewe. Maana hata hukumu ya kosa ni kuonewa vile ulivyofanya lilikuwa ndo takwa lako.
Mazingira ya wilaya ya ludewa ni mazuri na salama kwa kuishi kikazi ama kiujasilia mali. Baranara kuu zipo na za halmashauri, umeme upo kwenye baadhi ya maeneo na sasa mchakato unaendelea kuweka umeme vijiji 40 kati ya 77 vilivyopo.maji nayo si tatizo kwa baadhi ya maeneo.karibu mbona ludewa ni...
Big up Kafulila,wewe ni broad minded MP kati ya mliopo mjengoni.Shida hapa ni sera (policy). Angalia mfano wangu.niliajiriwa 1978 kwa mshahara wa tshs 770.=per month.wakati huo dola exchange ilikuwa tshs 6.95/$ maana yake nilikuwa napata $ 110.00/month. Nimeacha ajira mwaka 2004 kwa mshahara wa...
Ni kweli kabisa Agrey yuko mahiri si kujibu tu hoja za mjengoni bali hata akiiwa field ni mtu anayejua nini kinafanyika na watendaji wake kabla ya wao hawajamzungusha kama gurudumu.mimi nawapongeza mkuu wetu (J,K)na waziri mkuu kwa kumwona Agrey kuwa ni jembe halisi la kitanganyika kwa watanzania.
Tanganyika ni dira,dhamira,utaifa,mtazamo,kiu,thamani ya maisha yaliyopotea kwa watanganyika mara tu baada ya muungano kuasisiwa.kuna faida nyingi sana kwa kuwepo nchi na serikali ya tanganyika.Ni kweli wengi wanaoidai Tanganyika leo hawaijui bali kwao TANGANYIKA ni historia, ni kama kitu cha...
Tanganyika ni dira,dhamira,utaifa,mtazamo,kiu,thamani ya maisha yaliyopotea kwa watanganyika mara tu baada ya muungano kuasisiwa.kuna faida nyingi sana kwa kuwepo nchi na serikali ya tanganyika.Ni kweli wengi wanaoidai Tanganyika leo hawaijui bali kwao TANGANYIKA ni historia, ni kama kitu cha...
Hii mode ya kufukuzana ni matunda ya katiba mbaya iliyopo, iwe kwenye ajira serikalini/binafsi/taasisi/chama cha siasa n.k. kwamba pamoja na mazuri yote waliyokifanyia chama cha cuf, iwe kukichangia/kukiimarisha/kukitetea n.k vinamezwa na kufishwa na kaneno (dismiss) kufukuzwa. ths is very...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.