Search results

  1. N

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Hakika huyu mheshimiwa afya yake haipo njema sijui kweli kama ataweza hizi mbio za mwenge
  2. N

    Kwanini Waziba wanabaguliwa na Wahaya wenzao?

    kwa faida ya wale ambao si wenyeji wa mkoa wa kagera na labda hawajajui historia ya makabila ya mkoa wa kagera ni kwamba kabila la wanyambao na wahaya ni sawa kama yalivyo makabila ya wasukuma na wanyamwezi kwa maana ya kabila mbili tofauti kuwa na lugha, tamaduni, na mila zinazonayoelekeana
  3. N

    Kwanini Waziba wanabaguliwa na Wahaya wenzao?

    1.Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2.Waakiek 3.Waarusha 4.Waassa 5.Wabarabaig 6.Wabembe 7.Wabena 8.Wabende 9.Wabondei 10.Wabungu (au Wawungu) 11.Waburunge 12.Wachagga 13.Wadatoga 14.Wadhaiso 15.Wadigo 16.Wadoe 17.Wafipa 18.Wagogo 19.Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome) 20.Wagweno 21.Waha 22.Wahadzabe...
  4. N

    Unyama Mgodi wa Serikali Biharamulo, Ni kupiga, kuua na kuzika kinyemela

    Acha kuendeleza uzushi hii eneo halikuwawah ikumilikiwa na mtu ilikuwa ni hifadhi ya serikali ya misitu, habari ya fidia inatoka wapi, unajua hata sasa STAMIGOLD pamoja na kwamba ni taasisi ya serikali kupata kibali kuchimba hii pit mpya kutoka wizara ya mali asili na utalii, imewacost muda...
  5. N

    Unyama Mgodi wa Serikali Biharamulo, Ni kupiga, kuua na kuzika kinyemela

    ukiona hivi ujue jamaa kawabania kuiba ndio maana wanaanza uzushi . wana jamvi ignore huu uzushi ukweli hali ya pale imekuwa ngumu kwa sasa kwa upande wa kudokoa so njia pekee ni kumuondoa huyu Mhandisi mzalendo Denis Ssebugwao ndio maana ya huu uzushi mnaouona
  6. N

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    is a list of cities and towns in Tanzania. List of cities in Tanzania Rank City Census Year / Population Region 1978 1988 2002[1] 2012[2] 1. Dar es Salaam 769,445 1,205,443 2,497,940 4,364,541[N 1] Dar es Salaam 2. Mwanza 110,553 172,287 476,646 706,543[N 2] Mwanza 3. Arusha 55,223...
  7. N

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Hivi nyie hamjawahi kujiuliza kwanini Inasemekana Tazania ni nchi yenye amani, utulivu na mshikamano? kwa sababu ya (ashakum si matusi) wajinga/wasiona uelewa ni wengi, hivyo hawana uwelewa wa kuhoji mambo na politicians do take advantage of majority ignorance kupiga bao. Kuna post nimesoma...
  8. N

    Dar es Salaam City in Photos

    NICE PIC Hivi inakuwaje wakati naishi Dar nilipaona pa kawaid sana ila sasa baada ya kuhamishiwa mkoa natamani sana kurudi Bongo jamani na joto lake????
  9. N

    Wanawake wanaojiuza Buguruni sokoni vichochoroni kwenye mageto yao watimuliwa na polisi

    hapo sasa serikali inaingilia biashara huria za watu
  10. N

    Mwanamke: Je una miaka 30 na bado hujaolewa?...Huenda sababu zaweza kuwa ni hizi..!

    hahahaaaaa... Miwatamu umenikumbusha kisa kimoja jamaa alikua na demu wake ksoma sana sasa wakati wa kudo.. demu anamtolea nguo anamwambia mshikaji aendeelee huku yeye dem anaendelea kula kumalizia chapter kwenye noval yake..... kazi kwelikweli...
  11. N

    Mwanamke: Je una miaka 30 na bado hujaolewa?...Huenda sababu zaweza kuwa ni hizi..!

    hahahaaaaa... Miwatamu umenikumbusha kisa kimoja jamaa alikua na demu wake ksoma sana sasa wakati wa kudo.. demu anamtolea nguo anamwambia mshikaji aendeelee huku yeye um
  12. N

    CHEATTING ISIKIE TU KWA WENZIO!!!!!!!! MADAM (R.I.P) AJIUA BAADA YA KULIKOROGA !!!!!! Soo Sad!

    [Mwenzenu nikishawaza kwamba kuna ku-chitiwa nakata tamaa ya kuolewa kabisaa. Wanaume wenyewe wa siku hizi wakimwangalia mwanamke makalio mimate inawatoka ovyo] sasa nyie dada zetu mmetuendea hadi kwa wachina kuongeza hizo kalio mnategemea nini? mtaendelea kutulaumu bure wakati chanzo ni nyie
  13. N

    Mwanaume amekatwa nyeti na mkewe,kisa wivu wa mapenzi

    Jamani michango ya huu uzi kweli ni balaaa ..... yaani mbavu sina.....ni wakati sasa na sisi wanaume kwenda Shangai kulaani unyanysaji wa kijinsia
  14. N

    Ni Vyema Kunyoa!?

    hahahaaaaaaa....... jamani mbavu zanguuuuuuu!!!!!!!!!!!
  15. N

    Ni Vyema Kunyoa!?

    Hivi hizi uzi zingine huwa zinasomwa na watu wenye heshima zao au? hii imekaa kiutani zaidi
  16. N

    Nani mlengwa ? Sisi au wao kwa wao ?

    Waache wadisply bana wengine baada kitumbua kuingiliwa mdudu tumebaki kula kwa macho tu.. hivyo dada zetu endeleeni taabu ya nini!
  17. N

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Hii sredi nimeivumbua jana make mi si mwenyeji sana JF na nimesoma page zote 1 -25 kusema kweli sina cha kusema ngoja nitafakari angalau wiki nijue pa kuanzia,,, make mimi ni mshabiki mkubwa wa filami za ki Nigeria na kama mnavyojua almost more than 75% ya filamu hizi huonesha mambo ya...
  18. N

    Wa kumtolea hamu

    jamaa wameamua tu kuwa wawazi ila kimsingi sioni tatizo kwani jambo hili si geni kabisa nani ambaye hajawahi kutoa hamu nje relationship yake na awe wa kwanza kushangaa...sema jamaa wamekuwa wawazi...
Back
Top Bottom